Kwanini wadada wenye miguu myembamba wanapiga sana mizinga?

Kwanini wadada wenye miguu myembamba wanapiga sana mizinga?

Ha ha mtawaua jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kunakipindi Wanaume walikuwa wanapenda wadada weupe, basi watoto wa Watu wakajichubua mpaka basi, story ikachenji kwenye "chura" na kila mtoto wa kike akafanya juu chini ili aipate hiyo chura ata kwa Dr. Mkombozi. Gafla upepo ukachenji Vijana wakasema wanataka model. Ha ha saiv at model wanapiga vizinga[emoji1] [emoji1] . Nyie wanaume shauri yanu mungu anawaona
 
Kuna Binadamu Ambae Mungu Amuoni??[emoji45]
 
unataka kusema wanawake wakichaga wanapiga sana mizinga?
 
Hivi suala la mwanamke kupiga mizinga nalo linaitaji uchunguzi???
 
unataka kusema wanawake wakichaga wanapiga sana mizinga?
Basi tu kaamua naye aweke thread yake hapo! Maana suala la mwanamke kupiga mizinga sio la maumbile wala la kufanyia utafiti. Karibia ataleta utafiti wa kuwepo kwa silaha za kivita lugalo
 
miguu na mizinga wap na wap mkuu? watakuwa wanataka wale miguu inenepe
 
Hamna uhusianao WA miguu na kuomba pesa.. kwa research hiyo ushafeli
 
Baada ya kufanya uchunguzi na kuwahoji vijana takribani 50, nimebaini wasichana wenye miguu myembamba wana tabia ya kuomba hela mara 50 zaidi ya wale wenye miguu minene, yaani ukiwa na dada mwenye miguu myembamba a.k.a Ngoko a.k.a mironjo ni vizuri ukaanza na harakati za kumuomba boss wako akupandishie mshahara.

Wataalam wa mahusiano hii imekaaje?
Hao n Eat and Run cz miguu yao ipo Fast sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom