Yaani kutomjua Mungu, kutokuwa ndani ni shida Eheee Baba tusaidie.. Hivi why kila wakati ni women in every worse part .. What's wrong with some women now these days? Its like Demons are in their head ..Hebu tumrudieni Huyu Mungu tuliye muhasi kwa siku nyingi. Ni aibu kwa wazazi waliotuzaa, ni kwa familia zetu ni aibu kwa hata vizazi vyetu vijavyo .. My brother binafsi hata Mimi nachukizwa na tabia za some women honestly .. Sasa kama huyo uliyekuwa nae (ex wako) alikuwa anakushawishi kufanya huo ujinga ambao hata aliyemuumba anachukia kitrndo utamuweka kwa kundi lipi? Si mwanamke wala binadamu unless Atubu na kuacha mawazo yao. Haya umemuacha but still bado anakufuata bado tuu king'ang'anizi yaani sijui hawaelewi walio kama hawa... MTU kama umeachwa inamaanisha hutakiwi name
Kama ungetakiwa basi ungekuwa wake until now.. Please some women mnajiaibisha, Jichoresha, Mnajishusha thamani ya kuitwa mwanamke , mnajipotezea heshima wenyewe hamjui tuu. Halafu kutupia wengine lawama . Au kuona mmedharauliwa .. Sometimes acheni hawa wanaume wengine wasiheshimu wanawake .. Because for these nonsense zinazoendelea na some women wasiojitambua wanayoyafanya .. Utakuta MTU ana ndoa yake na familia but still anataka mwanamme ambaye si wake ..why? What for ? Unawafundisha watoto wako nini ? Wakija Ku Fanya hivyo baadae utawalaumu ? For what uwalaumu wakati mama MTU alikuwa abafanya hivyo.. Its a curse . Na tusipoangalia bila kutubu wote mtaingia motoni na kuwafanya hata vizazi pia viingamie motoni. Jamani enough is enough .. Turudini kwa Mungu kwa kunyenyekea mbele zake bado tunayo nafasi ya Ku make things right with God while tunapumua bado. Jithamini mwanammke kwa kuwa wewe ni wathamani kubwa kwa Mungu na ulimwengu mzima. Mwanamke ni Ua basi hili Ua halitong'ara lisipotunzwa. Na tukumbuke sisi ni kioo cha Jamii .. acheni kutumiwa na ulimwengu Wa Giza tutakase mioyo yetu na miili yetu kwa kumrudia Mungu na tutapata vingi tuu tunavyovitaka na ni ya mema tuu.( Hii ni kwa sisi sote. Ila haswa kwa
Baadhi ya wahusika wenye tabia hizi .).
Now dear brother run away from that lady tena usilegeze kamba kabisa wala kumpa space ya kukuzoea .. Kuwa na msimamo. Simamia na unachokiamini and move on with your life.. Huyo definitely ana demons . Run my brother.. Jifiche sana kwa kufunga na maombi ili hata pale ukutanapo nae njiani ashindwe hata kukupa salamu kwa sababu ya nguvu za Mungu zilizopo ndani yako... Amen.. Thanks..