Kwanini wadada wengine mnapenda kulazimisha mambo?

Kwanini wadada wengine mnapenda kulazimisha mambo?

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Posts
3,504
Reaction score
1,342
Stori yenyewe ni hivi. Nina my girlfriend wangu toka muda sana ananilazimisha na kuniomba tujaribu kinyume na maumbile , ila kiukweli mimi sitokuja kufanya hii kitu kwa sababu kwanza sidhani kama nitaridhika na kutokana na Mungu alivyonijalia mimi sio [HASHTAG]#teambamia[/HASHTAG] kwa hio obviously nitamuumiza mlengwa.

Ila huyu msichana wangu haangalii hilo, sasa mimi nilishapanga kuwa mimi na yeye mwisho ni mwaka jana nikamwambia na yeye akakubali. Alikuwa na mtindo wa kuja kwangu kila jumamosi mida ya saa tano sita.

Leo mimi nikaja na mzigo wangu (ambaye ni rafiki yake ) ndani tumelala na mlango sikufunga kwa sababu najiamini niliudishia tu.
Kushangaa naona mlango unafunguliwa na anaingia huyu ex wangu ambaye tumeshapeana bye bye.

Namuuliza umefuata nini?
Anaondoka kimya kimya.

Nimfanyeje huyu mdada na wakati tulishamalizana naye toka mwaka jana kutokana na hitaji lake ambalo mimi silitaki kulitimiza?
 
Anapita mtoto mchanga....halafu bado unajisifia wewe siyo timu kibamia 😅
 
achana nae usimuentertain aende atafute wa kinyume wenzake. Ukimuona mkaripie vikali sana atakuja kukuharibia huyo. Kama anachotaka huwez kumpa aende atapata wajinga wenzake
 
Huyu ex wako itakuwa ni tabia yake. Wakati uko naye inawezekana alikuwa anafanyiwa hivo na wanaume wengine. Si rahisi kutamani kitu usokijua. Mbali na hapo ni muathirika wa stori za kishangingi kuwa mwanaume usipompa tigo watakunyanganya wenzio. Believe me itakuwa sababu kati ya hizo mbili.
 
Hahahahahahha....
Huo ''mzigo'' wako anza kuubeba kwenye kiroba ili huyo ex asikufuatilie.
 
Stori yenyewe ni hivi. Nina my girlfriend wangu toka muda sana ananilazimisha na kuniomba tujaribu kinyume na maumbile , ila kiukweli mimi sitokuja kufanya hii kitu kwa sababu kwanza sidhani kama nitaridhika na kutokana na Mungu alivyonijalia mimi sio #teambamia kwa hio obviously nitamuumiza mlengwa.
Ila huyu msichana wangu haangalii hilo, sasa mimi nilishapanga kuwa mimi na yeye mwisho ni mwaka jana nikamwambia na yeye akakubali. Alikuwa na mtindo wa kuja kwangu kila jumamosi mida ya saa tano sita .
Leo mimi nikaja na mzigo wangu (ambaye ni rafiki yake ) ndani tumelala na mlango sikufunga kwa sababu najiamini niliudishia tu.
Kushangaa naona mlango unafunguliwa na anaingia huyu ex wangu ambaye tumeshapeana bye bye. Namuuliza umefuata nini?
Anaondoka kimya kimya.
Nimfanyeje huyu mdada na wakati tulishamalizana naye toka mwaka jana kutokana na hitaji lake ambalo mimi silitaki kulitimiza?

:blabla::blabla::blabla:....

Is this love?

Is this linguistic?
 
Sasa haja kubwa ndo mtoto? Unachanganya mada

Wewe umejichanganya. Hata uwe na uume kubwa vipi.....huwezi kujisifia kwamba unauume mkubwa. Hiyo sehemu wanapita watoto wenye ukubwa zaidi ya uume.
 
Huyo kashazoea aina hiyo ya migegedo hafai ni janga kubwa ni kinyume na maandiko matakatifu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom