Kwanini Wadada wanapenda Wanaume wasafi/smart?

Kwanini Wadada wanapenda Wanaume wasafi/smart?

Tofautisha usafi na kuwa fashionable. Ila nakubaliana na wewe kuhusu dhana ya kujiweka nadhifu na kuvutia mademu.
 
So unatakiwa uvae vizuri ili ipendwe na demu ndiyo unachotaka kutuambia.mimo kwa kuwa nawachukia mademu itabidi nianze kuvaa rafu wanichukie zaidi.

Otherwise work hard.Weka savings fanya uwekezaji zalisha pesa zaidi utawakimbia mwenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom