Kwanini wadada wanapenda kuzaa watoto weupe?

Wanaona mtoto mweupe ndio mzuri wakati hata weusi ni wazuri
 
Ni kweli Ney..afya ya mtoto ndo kitu cha muhimu zaidi.
Sasa watu wanashindwa kutofautisha afya ya mtoto na rangi ya mtoto, mtoto mwenye afya nzuri ndio kipenzi cha watu ila sio rangi. Ndio maana ukiwa na mtoto mwenye afya ya ukweli ukikutana na mtu yeyote hata ukiwa safarini kitu cha kwanza mtoto atashikwa shavu, kimkono au kimguu chake kama hujamvisha soksi lakini hapo huo mvuto huletwa na afya ya mtoto. Mtoto mwenye afya nzuri anavutia buana
hachoshi kuangalia, kumgusa na kumbusu pia.
 
Wenye utumwa wa fikra hawawezi kukuelewa, kwao mtoto anaevutia ni mweupe tu.
 
Ndo mana hata wanawake weupe wana soko kuliko weusi..

Yaani mweupe hata kama hana shape ile rangi tu inakufanya unampa attention. Ila mweusi labda kitachombeba awe amejaliwa shape vinginevo it become hectic hata kuanza kufikiria kumtongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…