Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,297
Mleta mada umekosea wanaume wa siku hizi ni wambea kuliko wanawake wamezidi kila kitu sema tofauti ni biological make up tu
Mwenyewe unaonekana una mdomo sana umefanyaje ukajua wadada wanasema sana?
huu ni upungufu wa kufiri kichwani,everyplace ni umbeya tu logically hawana kazi zaidi ya kuchunguzana
badilikeni jitambueni mda umekwisha
hapa hatusemi tunaandika halafu acha huo umbea sasa
REALITY muda upi umekwisha kakangu!huu ni upungufu wa kufiri kichwani,everyplace ni umbeya tu logically hawana kazi zaidi ya kuchunguzana
badilikeni jitambueni mda umekwisha