That is trueKila kabila lina Madon wenye Mkwanja, ila wachaga wamekuwa maarufu kwa Biashara za Maduka ya Rejareja.
WACHAGA WENYE PESA SIO WENGI KAMA UNAVYOFIKIRIA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Lakini mjini wao wametelekeza kwanini uko vile vile au wanatambia ya kukataa kwao?wachaga ambao ni madon kweli wengi wao ni wa kimya na wapo na mambo yao na hawana dharau labda uingie kwenye 18 zao,,,shida ni kwa wale kajambanane ndo dharau kibao na maneno mengi ya kejeli ila ukija kucheki maisha yao ni ya kawaida saaana
Boss, Swali ni jepesi tu kwa maendeleo ya Moshi.Nakosa cha kukujibu...
Uko obsessed na wachaga....
Na wao wako obsessed na hela tu..
Ndio maana nimeshindwa kukujibu..
Maaana mm ni mchaga na niko obsessed
Na hela tu!
Kwa kweli wachagga hawajaendeleza mji wa Moshi kwasababu ya sera mbovu wa mipango miji. Hakuna watu wameweza kuendeleza miji yao sio wanyakyusa, wasukuma, wahaya, wagogo, kwasababu ya mpango mbovu wa serikali. Maendeleo ya Kilimanjaro yanayowafanya wachagga wawe tofauti na wengine tangu miaka ya 1800 yapo kule vijijini; mashule, hospital, maji, barabara, etc. Hadi leo hakuna maeneo ya vijijini East Africa yaliyoendelea na kupendeza kama Kilimanjaro vijijini.Leo ningependa nizungumze na ndugu zangu Wachaga na wanipe ufafanuzi kuhusiana na madai yangu
Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakutana na machapisho mengi yanayozungumzia sana ndugu zetu Wachaga kwa namna chanya kwamba wana uwezo mkubwa wa fedha nakadhalika na mbaya zaidi wapo ambao wanafikia hatu ya kudharau watu wengine kwasababu ya kasumba hii
Jambo moja linalonipelekea kuandika article hii ni kwasababu kila napopita mji wa Moshi miaka nenda rudi tangu nikiwa mtoto na sasa ni mtu mzima uko vilevile kwanzia majengo huwa sioni yakijengwa mapya, maghorofa mapya matokeo yake umekuwa ni mji usiokua wala kubadilika kana kwamba hawa Wachaga wameutelekeza
Wachaga nijibuni kwanini mnasifika sana kwa maendeleo lakini mji wa Moshi ambao ndio utambulisho wenu miaka nenda rudi uko vile vile sasa tunashindwa kuelewa kwanini hamfanani na haya mnayoyasema?
Ningekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro lazima ningewahoji mpaka mnieleze kwanini mji wa Moshi mmeutelekeza huku mkijigamba mna maendeleo makubwa
Swala la kumiliki rasilimali mikoa mingine ikiweno Dar es Salaam kwa namna ya ndani kabisa ni kwamba mnakweza jiji la Dar es Salaam au majiji hayo lakini asili yenu ambayo ni mji wa Moshi inakufa na mpo kwenye hatari kubwa sana ya kupoteza mji wenu kimaendeleo
Je hili mnalitambua?
Kilimanjaro imekuwa vacation region zaidi ila mpango unakuja wa kuiweka vizuri zaidi.Wachaga ni ma fighter, lazima wapewe sifa zao,achilia mbali hao wakinga sijui waha, hawa jamaa wameelimika kitambo sana 😂, elimu uchagani ilienda mapema sana,
Ma Don wengi wakichaga investments zao zipo mikoani moshi wanaenda kusalimia na kujenga nyumba kwenye maeneo yao,
Kuinuana ndo misingi yao, hata dar wafanyabiashara wengi unaowaona mitaji wamepewa na wachaga wenzao
Kina mangi watakuja kujibu..!Leo ningependa nizungumze na ndugu zangu Wachaga na wanipe ufafanuzi kuhusiana na madai yangu
Ukiwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakutana na machapisho mengi yanayozungumzia sana ndugu zetu Wachaga kwa namna chanya kwamba wana uwezo mkubwa wa fedha nakadhalika na mbaya zaidi wapo ambao wanafikia hatu ya kudharau watu wengine kwasababu ya kasumba hii
Jambo moja linalonipelekea kuandika article hii ni kwasababu kila napopita mji wa Moshi miaka nenda rudi tangu nikiwa mtoto na sasa ni mtu mzima uko vilevile kwanzia majengo huwa sioni yakijengwa mapya, maghorofa mapya matokeo yake umekuwa ni mji usiokua wala kubadilika kana kwamba hawa Wachaga wameutelekeza
Wachaga nijibuni kwanini mnasifika sana kwa maendeleo lakini mji wa Moshi ambao ndio utambulisho wenu miaka nenda rudi uko vile vile sasa tunashindwa kuelewa kwanini hamfanani na haya mnayoyasema?
Ningekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro lazima ningewahoji mpaka mnieleze kwanini mji wa Moshi mmeutelekeza huku mkijigamba mna maendeleo makubwa
Swala la kumiliki rasilimali mikoa mingine ikiweno Dar es Salaam kwa namna ya ndani kabisa ni kwamba mnakweza jiji la Dar es Salaam au majiji hayo lakini asili yenu ambayo ni mji wa Moshi inakufa na mpo kwenye hatari kubwa sana ya kupoteza mji wenu kimaendeleo
Je hili mnalitambua?
Ila kwangu mimi naona maendeleo ya jamii ya wachaga ni yakawaida tu! Kwa sabau hata ukienda kwenye miji waliyowekeza hakuna maajabu yeyote maana wanavyofanya hata jamii zingine zinafanya pai!Kina mangi watakuja kujibu..!
Kijijini ndio kuna majumba na maendeleoLeo ningependa nizungumze na ndugu zangu Wachaga na wanipe ufafanuzi kuhusiana na madai yangu