Kwanini waarabu wanataka Zanzibar kwa gharama ya watanganyika?

Uarabu, uunguja , upemba vyote umenena wewe.

Kinachotakiwa hapo ni haki tu na si dhulma. Kinachotakiwa ni kuweka mambo hadharani na kujitakasa na ulaghai na ujanja ujanja. Kufuata yale makubaliano yenu ya mkataba wenu.

Usitafute mchawi na kusingizia watu na kuleta ubaguzi wa kikabila na kinasaba.

Nakupa pole sana.

Janja ya nyani kula hindi bichi kwisa tambua!
Piga ua galagaza Z'bar ni mkoa wa Tanganyika hakuna kurudia matapishi ya maarab pale! Hayo ndio mambo hadharani wala haina shobo! sawa Baru?
 
Mikutano na maandamano yafanywe na chadema peke yao ndio sahihi make up ur mind

Lini wafuasi wa CDM wamechoma kanisa au msikiti? sio TS wa CDM aliowapa maarifa na suluhisho mkamzomea bungeni? kweli kichaa ni taaluma!
 
wakati wa utawala wa kiarabu, makanisa mbona hayakuchomwa? tena mengi yalijengwa. Msitake kulaumu warabu, waznj wanatak nchi yao, sasa sisi tuamue moja, tuwape au tuonyeshe ubabe.

Wanataka nchi yao au wanataka mkoa wao??. Mimi naishangaa serikali kuendelea kukazana na huu Muungano, ni heri uvunjike tu ili tupunguze idadi ya vilaza katika serikali na nchini kwetu Tanganyika. Wazenji ni mzigo usiobebeka.
 
"Waarabu wanaitaka Zanzibar"
"Mkiwachagua CUF wataleta Waarabu"
"Wapinzani wanataka kuifanya TZ kuwa Ruanda na Burundi"
"Wapinzani wanataka kuleta ya Misri na Tunisia"
"Maandamano ya wapinzani yanahatarisha amani"
........
........
Ground Zero Mkuu, jiulize nani hasa wanayasema haya, wakati gani na kwa dhamiri gani, halafu changanya na zako.
 
Kama ilivyo wabara na ukristo. Wabara wanaamini sana wazungu ni kwa sababu wakristo wenzao na kila anachofanya muislam kwao kinakuwa zero.

Na ndio hapo nasema Kikwete anaponzwa na Dini yake na si lingine. Angekuwa mkristo mambo yangekuwa sawa tu kama yalivyopita kwa Nyerere na Mkapa.

Poleni sana WaDanganyika na Ukristo wenu.

W zuzu kwenye uwajibikaji hakuna udini, jk hawezi kazi. Hawezi kusimamia wateule wake na pia wateule wake wanajua boss wao hamna kitu ndio maana wanajinafasi tu, waislamu msiwe kama wanawake maana mwanamke hata kama ana kosa ukimuuliza anasema unamdharau kwavile yeye ni mwanamke.
 
Nimejaribu kuangalia karibu 90% kama sio wote wanopinga hoja hii na zenye kufanana na hii either wanashindwa kujibu hoja kwa sababu hawajui, au kwasababu malengo yawanachokitetea hawayajui, Au wanayafahamu malengo na wanatumika.

Kinachofanyika nikuendeleza ubishi na sokomoko zisizo na msingi wala uyakinifu.

Watu wanauliza kwanini waarabu wana inaitaka zanzibar......... oh tuachieni zanzibar yetu kivipi? hoja ni kukanusha kwamba hapana kisha toa sababu kwamba sikweli kwasababu 1, 2, 3, .......

Watu wanauliza vizuri tena kwa maana nzuri, zanzibar kama hakuna udini kwanini matatizo ya muungano yasababishe makanisa na mali za makanisa kuteketezwa. Majibu ya msingi yanatakiwa kutofautisha muungano na makanisa kama hoja siyo udini.

Watu wanauliza kama sio ubaguzi wa kuwabaguwa watu kutoka bara kwa maana ya udini na asili yao mbona huku bara wapemba na waunguja hawabauliwi? kama wanabaguliwa tuambiwe ni wapi?

Watu wanataka kujua nani hasa mtu mwenye asili ya kuitwa huyu ndiye mzanzibar, majibu hakuna naona ni ushabiki tu kwa wanaopinga.

Ushabiki wa kibaguzi nahasa wakidini ndiyo hasa nguzo ya wanaopinga na hawana majibu wala hoja.
 
Adolay hapo umepiga ikulu mkuu lakini hawa jamaa ni vilaza kwa kwenda mbele. mimi nadhani watu wote walio soma Qur'an wanamatatizo ya kuweza kupambanunua mada kwani hata hawa waislam wenyeji wa Tanganyika nao wanaona wanakandamizwa na wakristo wakati darasa la kwanza mnaanza pamoja wewe jioni unaenda tuition wao wanaenda kusoma kitabu kitakacho wasaidia huko Ahera? pelekeni watoto wakasome shule za elimu ya hapa duniani acheni ujinga nyie,,,,,,,, maisha ndio haya tunayoishi LOL!!
 
Kiufupi huwezi kutenganisha kati ya muungano na mfumokristo Tanzania.
ndio maana huwezi kuona faida yoyote ya muungano.

Yaani,muungano unafaida kubwa kwa kanisa kuliko serikali yake.

Unafikiri kwa nini Makanisa na Baa zinachomwa?

Zina chomwa kwa sabababu ndio faida za muungano katika miaka 48 ya muungano,toa faida nyingine ya muungano zaidi ya hizo! na Watalii, a.k.a wakaa uchi.

Na wala Wazanzibari wasitishwe na hotuba za Nyerere, walioko huku tanganyikawatapewa pasport kama wakenya waliopo Tanzania.
 
Nasaha
kwahiyo unasema ubaguzi wa dini upo hapo zbar sawa? Na keteketeza makanisa ndo jibu, hujajibu yote japo kwa wenye hekema na busara nikama jazba zinakutesa na huna majibu.

Jibu na hili

unaamini kunakiama na peponi?

Je unaamini mungu atahukumu watenda dhambi? wasiomwabudu na kumtii siku ya kiama? Nawataenda jehanam?

Je nyinyi mnahukum kama nani?

Kama mnafanya kazi ya mungu amewatuma?

Kama hajawatuma kuhukumu na kutoa adhabu, mnamuwakilisha nani?

Je? Wewe unaamini katika kumsaidia mungu kupanga na kutoa adhabu? Na atafanya nini siku ya kiama?

Polepole bila jazba unielimishe tu kwa faida ya wengine.
 
Mikutano na maandamano yafanywe na chadema peke yao ndio sahihi make up ur mind
chadema chama cha siasa,uamsho ni chama cha dini kisheria,madai ya uamsho yako ndani ya uwezo wao,wawakilishi wako nao kwa nini wasiwatume hilo.
 
Hivi waarabu hawa wana maslahi gani na Zanzibar kiasi cha kutaka kutuharibia amani. Ukiwasikiliza viongozi wa uamsho wengi wanazungumzia misaada kutoka kwa ndugu zao uarabuni. Je huo ukaribu wa waarabu na Wazanzibar hasa wapemba na waarabu unatokana na nini?Hivi mwarabu wa oman ni karibu zaidi kiutamaduni na mpemba kuliko mpemba na mtanganyika wa kigoma?
HAYA NDIO MALENGO NA MADHUMUNI YA UAMSHO

About
Jumuiya ya mihadhara ya kiislamu zanzibar. ni Jumuiya ambayo haifungani na chama chochote cha siasa ni jumuiya ambayo inajishughulisha na mambo ya dini.
Mission
1)Zanzibar irudi katika asili yake kuwa kitovu cha elimu ya dini ya kiislamu.
2)Kuhakikisha sheria za kislamu ndio zitakazotumika.
3)Kuhakikisha zanzibar inajikomboa katika mikono ya ma dhwalimu na kuweza kujtawala na kujiamulia mambo yao wenyewe bila ya kuingiliwa.

SWALI LA KUJIULIZA NI KUWA MISSION NAMBA MBILI WANATAKA SHERIA ZA KISLAM NDIO ZITUMIKE KATIKA NCHI YA ZNZ.Je watawezaje kutekeleza hili wakati zipo dini mbali mbali znz...?Jibu la swali hili litakupa sababu kwa nini makanisa yanachomwa.uamsho ni taasisi ya kidini wanachotetea cha kwanza ni dini,muungano uondoke ili nchi iendeshwe kislam

Source:Jumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar | Facebook
 
Hivi waarabu hawa wana maslahi gani na Zanzibar kiasi cha kutaka kutuharibia amani. Ukiwasikiliza viongozi wa uamsho wengi wanazungumzia misaada kutoka kwa ndugu zao uarabuni. Je huo ukaribu wa waarabu na Wazanzibar hasa wapemba na waarabu unatokana na nini?Hivi mwarabu wa oman ni karibu zaidi kiutamaduni na mpemba kuliko mpemba na mtanganyika wa kigoma?
!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????????????? hatuwezi kuishi bila hiyo kiyu ya blue hapo juu!
 
Uarabu, uunguja , upemba vyote umenena wewe.

Kinachotakiwa hapo ni haki tu na si dhulma. Kinachotakiwa ni kuweka mambo hadharani na kujitakasa na ulaghai na ujanja ujanja. Kufuata yale makubaliano yenu ya mkataba wenu.

Usitafute mchawi na kusingizia watu na kuleta ubaguzi wa kikabila na kinasaba.

Nakupa pole sana.

Haki ipi?
 
Hivi waarabu hawa wana maslahi gani na Zanzibar kiasi cha kutaka kutuharibia amani. Ukiwasikiliza viongozi wa uamsho wengi wanazungumzia misaada kutoka kwa ndugu zao uarabuni. Je huo ukaribu wa waarabu na Wazanzibar hasa wapemba na waarabu unatokana na nini?Hivi mwarabu wa oman ni karibu zaidi kiutamaduni na mpemba kuliko mpemba na mtanganyika wa kigoma?

wacha ujinga na kichwa kifuu...hizo ndio hadithi za abunuwasi kuwagawa wazanzibar..mara aah hawa waraabu mara hawa wapemba .....kwa ufupi wazanzibar ni waislam kwa 99% kwa hio wako karibu zaidi na waislam wenzao kama ni waoman ama wa kigoma ..lakini hawako pamoja na mamluki wa kizungu...wa kitanganyika..
mamluki na vibaraka wa wazungu...
hii janja ya nyerere wenu ya wapemba ...mara waarabu..mara sijui nani...lakini hakuwahi kukemea hata siku moja ukabila ulio sheheni tanganyika...
na hakuwahi kusema ooh wazungu..oh wajerumani ..oh....wafaranza...oh wamerekani..hakuwahi kuwasema hata siku moja...kama wewe unavowaona mabash.... zako hao wazungu..kwa sababu tanganyika inaenedeshwa kwa mfumo kristo..
mnaogopa zanzibar ikijitoa ..waislam wa tanganyika ndio watajijua..kumbe hawamo ndani ya serikali hii ya tanganyika...walikua wakifichwa kwa kuwemo wazanzibar wawili watatu
ZANZIBAR WARAABU NI NDUGU ZAO WA DAMU..WAMEZAA NAO..WAMEKAA PAMOJA,....WAMEONA NAO...NA WANASAIDIANA...JANJA YENU....TUNAIJUA...KWENU WAZUNGU SAWA SIE WARAABU HAPANA.....MMEULA WA CHUA
MPAKA KIELEWEKW KAMA MSEMO WENU
 
Sasa kama wanapenda huo Ukaribu ni kwanini Walimnyima Salim Ahmed Salim Urais hao Wazanzibari kwa kumuita Mwarabu, Mkoloni na Majina Mengi tu ya kumdhalilisha yeye na rangi yake? na wakati Ndani Moyoni kwa Wazanzibari wanaukodolea Urangi na U-Omani; kuliko U-Afrika wao?

Hivi Pemba kuna Uarabu zaidi ya Zanzibar? na Zanzibar kuna U-Omani Zaidi ya Pemba?

wacha ujinga na kichwa kifuu...hizo ndio hadithi za abunuwasi kuwagawa wazanzibar..mara aah hawa waraabu mara hawa wapemba .....kwa ufupi wazanzibar ni waislam kwa 99% kwa hio wako karibu zaidi na waislam wenzao kama ni waoman ama wa kigoma ..lakini hawako pamoja na mamluki wa kizungu...wa kitanganyika..
mamluki na vibaraka wa wazungu...
hii janja ya nyerere wenu ya wapemba ...mara waarabu..mara sijui nani...lakini hakuwahi kukemea hata siku moja ukabila ulio sheheni tanganyika...
na hakuwahi kusema ooh wazungu..oh wajerumani ..oh....wafaranza...oh wamerekani..hakuwahi kuwasema hata siku moja...kama wewe unavowaona mabash.... zako hao wazungu..kwa sababu tanganyika inaenedeshwa kwa mfumo kristo..
mnaogopa zanzibar ikijitoa ..waislam wa tanganyika ndio watajijua..kumbe hawamo ndani ya serikali hii ya tanganyika...walikua wakifichwa kwa kuwemo wazanzibar wawili watatu
ZANZIBAR WARAABU NI NDUGU ZAO WA DAMU..WAMEZAA NAO..WAMEKAA PAMOJA,....WAMEONA NAO...NA WANASAIDIANA...JANJA YENU....TUNAIJUA...KWENU WAZUNGU SAWA SIE WARAABU HAPANA.....MMEULA WA CHUA
MPAKA KIELEWEKW KAMA MSEMO WENU

Haujui kuna Wazanzibari wanaishi kwa Wazungu huko Uingereza? Tena Wengi haswa na Wamezaa nao? Wamekaa nao Pamoja ... Wameoa Nao... Na Wanasaidiana

Na Misikiti Mikubwa Imejengwa hauoni huo ni Upendo kati ya Wazanzibari na Wazungu wa Uingereza? na Wengi wamekimbilia huko kupata haki na Usawa.
 
Nyie sio wamoja!!! Mnasema mpo pamoja kwasababu ya muunhano.ila mkishavunja muungano mtakuta sio wamoja,bali kuna wapemba na waunguja!!! Poleni sna!!! By nyerere 1995
 
Wazanzibar ni watu wa kutawaliwa kuanzia kwenye fikra zao mpaka kwenye phisical appearance yao.
Wao wanachotaka ni wapewe nchi yao halafu wakishapewa wanamkabidhi ndugu yao wa pale uarabuni waendelee kuongoza nchi.

Kwahiyo wanachotaka na wanaomba kwa mungu kabisa ni kutawaliwa na muarabu pasipo kuelewa kwamba huyo muarabu katumwa na nani, wao wanataka kutawaliwa na muarabu. Another watumwa/manamba.
Muarabu ana uchumgu upi na Zanzibar mpaka ashindwe kuiuza kwa mzungu au huyu muarabu tuna uhakika gani kama hajatumwa na mzungu? Mzungu ni hatari sana, anaingia mahali anawagonganisha vichwa anawaacha mnagombana yeye anachukua anachotaka nyie mnabaki mnagombana.

Wazanzibar kama mnavyotaka kutawaliwa na muarabu msishangae mkatawaliwa na mzungu tena Mmarekani. Hao wanauamsho ni ma-agent wa kuiuza Zanzibar
 
Back
Top Bottom