Waarabu na dini yao ya kuunga unga hawajiaminin kamweWazungu ni watu wakuwapigia sana saluti wamevumilia waarabu na ndugu zao waislam naona sasa kutafika kipindi wataanza kuwaua hadharani
Vita vinapigwa palestina na lebanon weo wanaandamana Canada kwa kuvunja maduka ya watu na kuunguza magari ya watu eti free palestina huu sio ujambazi ? Wao kila tukio ni wao tu ukisikia kuna maandamano sehemu fulani ni lazima wawe waarabu tu
Wamekaribishwa katika nchi za watu wanataka kutawala wenyeji na kuwapangia nini cha kufanya wakipigwa spana wanaanza kulalamika heee uhuru uhuru uhuru mbona katika nchi zao hakuna uhuru
Wanzugu ni watu wa kuheshimiwa sana
View: https://youtu.be/IF7UqK3aLFw?si=OEsZ40b3oneWrSZO
Wewe nae unafuata maagizo ya Mohammad Abdula bin Mutalib ngumbaru wa miaka ya 663 hukoMtume wetu ametuusia tuangamize mayahud na makafiri
Du sasa wale kutwa akilizao zinafikiria hii ni vita ya Waislamu ma Wakristo waje wamsome Ngabu Kweli kutembea ni kitu kizuri, hao wa Tandaimba akili mgando waje wasome hapa,na ni Mkristo huyu,Samia ruhusu uraia pacha warudi hawa wawatoe Tongotongo wabongo.Mbona wengine Wazungu kabisa hapo na sio waarabu? Huyu aliyepiga Nazi Salute kumuunga mkono Hittler naye ni Muarabu.?
Hittler alipoamua kuwaua wayahudi na kufanya crackdown dhidi yao naye ni Muarabu?
Kwangu mimi hao sio waarabu bali ni walimwengu waliochoshwa na mauaji ya kifedhuli ya waisraeli dhidi ya wapalestina na walebanoni, Hao ni watu waliochoka kuona Israeli anaua kila siku na Dunia inatazama tu lakini Hittler alivyoua Jewz Dunia mpaka leo inamuona Hittler ni mshenzi na mpaka leo hii manazi wanasakwa mpaka argentina eti Kwa makosa ya kuwaua Wayahudi na sio makosa ya kuvamia Urusi na kuua watu pamoja na kuanzisha WW2.
Wapi Dunia ilikemea na kuwachukulia hatua watu wote waliosababisha ukoloni Africa na kuwaua mamilioni ya WaAfrica utumwani na hata kulipa fidia?
Msituletee mnachoambiwa huko misikitini.Vita ya 1 na 2 ya dunia walianzsha waarabu