Kwanini Waarabu na Wahindi wao huwa hawapendi kuwa na mahusiano na Wafanyakazi wao Dukani au Ofisini, ila kwa Waafrika ni jambo la kawaida sana?

Sijui sample size iliotumika ila binafsi nimesikia shuhuda nyingi za matajiri wa jamii hiyo kuwa harrass ki-ngono wafanyakazi wao (wawe na wa ndan au dukani).na mmoja nilikua na nasaba nae ya mbali yeye alinisimulia mwenyewe yaliyompata na vias vingine alivyowahi kushuhudia.
So inaweza kuwa sio kwa kiwango kikubwa lakini kusema HAIWEZEKAN,KAMWE,MWIKO sio sawa.Wapo wanaofanya kabisa
 
Waafrica weusi wanakosa nidhamu ya kazi. Hapo ndio source ya matatizo yote yanapoanzia
 
Back
Top Bottom