Ndugu zangu wana JF ningependa kujua juu ya hawa ndugu zetu Waarabu na Wahindi, kwanini wao wanapowataka dada zetu wanaoa tena bila sisi kuwatilia masharti ila linapokuja suala la sisi kutaka kuwaoa familia zao zinakataa?
Je, wao wanathamani sana kuliko sisi weusi? Je, dini walotuletea inakataza sisi kuoa kwao? Je nasisi tuwagomee maana naskia lakini eti dadaako akiolewa na mwarabu basi ujue familia yenu mmepata hasara.
Ndugu zangu wana JF ningependa kujua juu ya hawa ndugu zetu Waarabu na Wahindi, kwanini wao wanapowataka dada zetu wanaoa tena bila sisi kuwatilia masharti Ila linapokuja suala la sisi kutaka kuwaoa familia zao zinakataa?
Je, wao wanathamani sana kuliko sisi weusi? Je dini walotuletea inakataza sisi kuoa kwao? Je, na sisi tuwagomee maana naskia lakini eti dadaako akiolewa na Mwarabu basi ujue familia yenu mmepata hasara.
Watu wa asia ni wabaguzi sana. Wahindi. Waarabu. Wachina. N.k. hata ukienda zanzibar mfano wapemba ni wabaguzi kwa watu weusi wa bara. Huwezi kuoa . ukibahatika kuwapata ni kuwapiga p ya kufa mtu.