Kwanini Vitu Vinadondoka? (Newton vs Einstein)

Sikusoma sana Physics.Ila naweza kusema,Chochote chenye mass?/density kubwa kuliko air kitadongoka kuja chini kwa sababu hakutakuwa na resistance itayokizuia kielee angani..
 
Sikusoma sana Physics.Ila naweza kusema,Chochote chenye mass?/density kubwa kuliko air kitadongoka kuja chini kwa sababu hakutakuwa na resistance itayokizuia kielee angani..
Sawa kabisa lakini uyu Jamaa anasema ivi chukua chupa weka maji na toboa matobo kadhaa ambayo yataruhusu maji kutoka nje, ile chupa ukiwa umeishika itamwaga maji lakini ukiidondosha maji hayatamwagika mpaka itakapo tua chini ndo maji yataanza kumwagika Tena.
Pia anasema tuachane na mechanics physics kuelezea hili ila tutumie general relativity. Sasa hapo ndo anataka utoe maelezo bila kuhusisha gravitational force., Acceleration due to gravity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uelewa wangu wakikomamanga vitu vinadondoka au vinabehave kudondoka kwasababu ya gravity ambayo kwa general relativity ya Albert ameelezea kuwa ni ku curve kwa space (spacetime). Kwa maelezo mafupi ni hivi matter tells space how to curve and space tells matter how to move!. Kudondoka kwa vitu ni matokeo ya matter kufata(behave) space jinsi ilivyo!. Chengine ni kuwa speed hutumika Kama kinyume cha gravitational! So kutokana na speed hata maji kwenye chupa yanakuwa yamepoteza ile sensi ya gravity hivyo yanakuwa hayabehave as space curve ilivyo! Hayo ndo maelezo yangu mi Kama komamanga na muwakilishi wa makomamanga!. Ambacho sijui ni how matter curves space! I don't know which type of muzizi in this effect..😜
 

Ahsante kwa maelezo Boss. Wewe naona umeongezea swali au kuibua mada zaidi.

Yeye katumia neno, " vitu vinaonekana kudondoka" anasema kiuhalisia havidondoki.

Kabla hatujaenda huko kwenye kurusha juu kirudi chini, nilitaka tuweke sawa kwanza swali likae vizuri na lieleweke.
 
Umepiga hesabu za F=Ma lakini naona umesahau kabisa mambo ya Potential Energy F=mgh
 
Sahihi kabisa, na ndiyo maana baadhi tulikaa kimya alikuja na mada nzuri ila namna anavyodhihaki siyo poa haya mambo tunapeana knowledge ili kila mmoja aongeze alichonacho.
 
Sijajua kwanini hii mada ni ngumu sana kueleweka

Nilichotaka kuelezea katika huo mfano wa "chupa ya maji" na "mtu ndani ya elevator inayo appear kudondoka" ni msingi wa "Equivalent Principle"

Kama utaelewa "Equivalent Principle" basi itakua rahisi kurudi kwenye swali langu ni kunisaidia kujibu

Ni hivi, "inertial frame of reference ni frame of reference ambayo haipo subjected na force yoyote ile"

Ni aidha ipo stationary au inasafiri kwa uniform velocity

Kwa case ya "chupa au mtu anayeanguka kwenye elevator"

Vyote hivi vipo kwenye inertial Frame of references

Hakuna force yoyote inayo act pale
There is no pull of gravity wala acceleration due to gravity

So tunahitaji different explanation for how "things appear to hit the ground"

Kwanini tunaona vinaanguka?
 
Yeye katumia neno, " vitu vinaonekana kudondoka" anasema kiuhalisia havidondoki.


Vitu Vinadondoka, mfano weka jiwe kwenye manati na uvute manati na ufyatue, jiwe likirushwa/likiruka kwenda mbele mtu atasemaje kiuhalisia kwamba jiwe halikuruka???!! --- hiyo mipira ya manati ime apply force kwenye hilo jiwe jinsi force ya gravity inapofanya vitu vidondoke juu ya uso wa dunia.

Hiyo inayo apply hapo kwenye vitu vidondokavyo ni universal LAW of gravitation na sio General THEORY of relativity.

The General theory of relativity, Einstein alijaribu kuonyesha Mechanism ya Gravitation kwani Universal law of gravitation haielezi hiyo mechanism inafanyaje kazi na ndiyo maana Einstein akaja na "space curve and mass depiction" kufafanua jinsi AONAVYO hiyo gravitation inavyofanya kazi (mechanism).--- hivyo General relativity bado ni nadharia tu na itabaki hivyo hadi atokee mtu na a prove experimentally au mathematically ili iwe Sheria (law) kitu ambacho watu hatuzingatii.
 
Unaweza kuandika maandiko yako maalum kuhusu kuikosoa theory hii, maana unavyotaka ikupe majibu ambayo aidha hayapo kimaandishi au hayajagunduliwa bado, jua una golden chance ya kuwasilisha maandiko yako.

Kama yakionekana yanafaa zaidi, huenda yakapitishwa kwenye majopo ya wanasayansi nchini, Afrika na hata duniani, coz wapo wenzio wanaendelea kuendeleza theory of 8th dimensions (Theory of Everything)

Nadhani kadri unavyozidi kukomaa deeper, ni rahsi ukajikuta upo peke yako kwenye utafiti wako.

Charlii.
 
Hivi haya unayoaandika hapa yanatoka kichwani tu au ulifanyia tafiti?

Wewe unafikiri General Relativity haijawa "tested" Experimentally?

au haina real world applications

Hakuna "Gravitational force" wala "universal law of gravitation"

Modern physics ime "fix" hizo flaw zote za Newton na Classical mechanics

Chukua mda wako upate hata misingi ya Modern physics the uje hapa u comment

The reason why "Classical description ya Gravitation na Newton Mechanics" bado inafundishwa "O level" au "A level" ni urahisi wake na kwa kiasi ipo "valid" kwa every day calculations

Once umefika juu,kuna paradigm nyingine tofauti


Na MTU akiandika hivi...mnasema kawadharau...
 
Huu sio utafiti wangu
Ili ni swali la "kwanini vitu vina appear kuanguka kwa mjibu wa General Relativity?"

Bahati mbaya 90% ya wachangiaji hawajawahi kukutana na hata hio General Relativity, wanaona naongea kwa lugha...

Baadhi ya wachangiaji walioelewa....Nita append comments zao hapo juu
 


Ukiandika hivyo unaonekana unamdharau nani??--- only you expose yourself that is what I see.

Ninachotaka ufahamu ni kwamba there are more rooms of experiments and researches etc, in a theory than there are in a law. Usijibebee theories tu ukadhani kwamba zinaweza zikatanzua problems of physics with perfection wakati bado ni NADHARIA tu, mwenye akili huifanyia kazi kwanza theory kuona usahihi wake kuliko kujibebea kwa mazima.

Theoretical physicists wanachofanya ni; Theorising, Formulation of the theory (mathematical side of it) and Experimenting.

Nataka ujue theory is more subjectible to changes than a law.

Kama wewe ni compentant physicist zifanyie kazi hizo theories kupata ukweli wake ili ziwe laws pengine Kamati ya Nobel itakuona na utakuwa The first black Nobelist in physics.
 
Universal law of gravitational

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjusi alisema humans are deal with poor mathematics and wrong number. Mitarudii apa Kwenye curved space time Apoo
 
Mtoa mada abu tulia naona upo kasi sanaa. baada ya kusoma uzi wote huu unaonekana kuwafanya wengine kujiona hawajui ivi. Ni vema kupanga uzi wako uweleweke ili watu waweze kuchangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…