Kwanini Vitu Vinadondoka? (Newton vs Einstein)

So kulingana na Newton first law(f=ma), kama net force ni 0, basi hata acceleration ni 0 (cause mass haiwezi kuwa zero)



Sio acceleration ni Zero bali resultant force Fr, ndiyo zero, vyote acceleration na mass sio zero, kumbuka hapo unaongeleo juu ya RESULTANT FORCE.
 

Vitu vinaonekana kudondoka au vinadondoka?
 
Usinge comment Mzee.....
Niamini Mimi

Nahisi hujui hata General Relativity ni kitu gani
 
Sasa mwenzio kasema hii kitu aisababishi vitu kuanguka

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona kana nimeuliza swali la PHD kwa kundi la watoto wa Nursery

Mtu unamuonyesha kwanini Classical Mechanics imeshindwa kuelezea Gravitation na kwanini vitu vinaonekana kudondoka

Halafu anakuja kukupa jina hilohilo
Nahisi hata watu walio bahatika kusoma General Relativity bado hawajauona huu Uzi

Kuna kundi tu la vilaza ambao bado hawana habari kua Newtonian Gravitation theory sio current description ya Gravitation kwa sasa
 
Vitu vinaonekana kudondoka au vinadondoka?
Nimetumia hio sentensi "vinaonekana kudondoka" kwasababu kiuhalisia "havidondoki" kwa maana ya kuvutwa chini ya dunia...

Swali hili sio rahisi kama watu wanavyoliona
Ni moja kati ya maswali magumu mno kuyajibu

Newton alitupa formula ya Ku calculate Gravitation kati ya vitu viwili
(F=GM1M2/R^2)
Lakini hakutwambia chochote kuhusu Mechanism ya hii Force

Mechanism ipi inaiwezesha jua kuvuta dunia?

The famous "spooky action at distant"

So Newton alikiri mwenyewe theory yake haielezei asili ya Gravitation au nature

Aluchotupa ni Mathematical equation ambayo tunaweza kuitumia Ku calculate motion ya bodies under influence of the so called "Gravitation force"

Na ilikua accurate kwa kiasi Fulani,tatizo lilikuja iliposhindwa Ku elezea mzunguko wa sayari ya Zebaki kuzunguka jua

Einstein alipotaka Ku encapsulate accelerated motion kwenye special Relativity

Ndipo ilipo mbidi kuelezea nature ya Gravitation...

Na hapo ndipo uelewa wetu kuhusu Gravitation ulipo badilika
Once and for all

Kwa Einstein Gravitation sio tena "action at distant force" kama Newton alivyo assume anyway

Kwa Einstein Gravitation ni manifestation ya "Curved" spacetime

Na time component ya spacetime ndiyo inayofanya vitu "vionekane kudondoka"

Hili ndio lilikua swali langu "how?"
Yaani ningepata MTU aliyeelewa Gravitation (ya General Relativity) kunielezea hapo

Bahati mbaya najibiwa na watu ambao hata swali lenyewe wameshindwa kulielewa
 

Swali kutokueleweka linamaanisha vitu viwili, mtoa maelezo na msomaji.

Kwa hiyo unakubali kwamba gravitational ipo na kanuni au formula ya Newton ipo sahihi tatizo ni maelezo yake kuhusu gravitational?

Sasa nakushauri jifunze kwanza hizo mambo za relativity ukishaelewa vizuri njoo uelezee kiufasaha, hauwezi kupinga maelezo ya Newton wakati huo huo hauitetei hoja yako ipasavyo ikaeleweka.

Kwamba vitu tukiviachia/ visiposhikiliwa hua havidondoki ila vinaonekana kudondoka? ( unaweza kuwa na hoja ila hadi sasa, ni rahisi zaidi kumwelewa Newton kuliko maelezo yako mkuu).

Kumbuka sijapinga au kudharau maoni na mawazo yako, ila nimeshauri urudi kujifua upya, ukishaiva uje uteme mambo tuelewe.
 
Sio acceleration ni Zero bali resultant force Fr, ndiyo zero, vyote acceleration na mass sio zero, kumbuka hapo unaongeleo juu ya RESULTANT FORCE.
Duuh...
 
Key point hapa ni "Explanation"
Ni true kuwa Einstein Field Equations ina reduce Newton Gravitation Equation kwa bodies ambazo masses zao sio kubwa sana

So tunaweza safely kutumia "Classical Equation ya Newton" kuelezea "their motions"

Kitu ambacho naona umeshindwa kuelewa hapa ni Physical Explanation ya Gravitation

Hapa ndipo tofauti ya Newtonian Gravity na General Relativity ilipo

Na hii Physical Explanation ya Gravity kulingana na General Relativity (Kwasababu ndio current interpretation ya Gravitation kwa sasa)
Iliyonifanya niulize ili swali


Kwanini vitu vinadondoka?

Narudia tena ili swali sio rahisi kama akitokea mtu wa kunielewa
 


Duu ndiyo nini???

Maji yakiwa ndani ya chupa yana exert force (mg) kwenye floor ya chupa au kwa maneno mengine inaitwa reaction force R, hiyo force per unit area on the bottom surface of the bottle ndiyo pressure (pgh) rho, g, h, sasa unapoachia chupa lidondoke maana yake hiyo R =mg=ma, they are numerically equal but algebrically acts in opposite direction therefore -mg+ma=0, , ndio maana maji yanashindwa kutoka kwenye matundu. R=0 the weightlessness phenomenon, na ndio maana nikasema Resultant force ndio zero na sio acceleration.

It is purely a classical mechanics issue.
 
Kweli mfumo wa Elimu wa Tanzania ni takataka

Kwa comment ya namna hii

Hatupo kwenye mabishanao ya "nani mkali au nani Genius"

Katika watu waliyo revolutionize "our understanding of physical universe" namuweka "Newton above anyone" (binafsi)

Ila hii haindoi fact kuwa hakua sahihi kwenye Motion na Gravitation

Na hii ipo wazi haina haja ya debate
Under "relativistic speed" au massively bodies (Eg black holes)
The whole Newtonian Mechanics ina vunjika vipande vipande

Na kuhusu Gravitation, Newton alikiri kabisa theory yake haielezei Gravitation ni nini au inasabibishwa na nini?

Swali bado lipo pale pale kwanini vitu vinaonekana kudondoka?
 
Ni maneno yaleyale,moja tu lina tilia mkazo zaidi swali langu

Kwa mtizamo wangu, maneno ni yale yale lakini yanamaanisha vitu tofauti.

Kitu kuonekana kudondoka, inamaana ki uhalisia hakidondoki.

Kitu kudondoka, inamaana kinadondoka

Au nimeelewa tofauti mkuu? Ikiwa hiyo ndio maana yake, hauoni ni vitu tofauti?

Na kuna mahali uliandika vitu havidondoki, nikakuuliza unamaanisha tukishikilia kitu tukakiachia hakidondoki?
 
Hapa hii formula si imetoholewa kutokea sehemu nyingine au.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kitu asili yake ni kushikiliwa na ardhi , Sasa lazima kirudi kilipotoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ndio tatizo..
Kwanini hamsomi kwanza swali kabla ya kujibu?

Hii sio issue ya Classical Mechanics

Utaona hapa maelezo yako yote yame assume uwepo wa "Gravitation force" notion ambayo sio sahihi kwasababu Gravitation sio force... Hence hakuna acceleration due to gravity
(Value "g" uliyo assume kuwa ni 9.8m/s^2 conceptually ni 0 kwa hoja hii)

Na hakika hapa namjibu MTU ambao hata General Relativity hajawahi kuisoma

Unaweza kunielezea "Equivalent Principle" kwa maneno yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…