Kwanini viongozi wengi wa Afrika husalitiwa na inner circles na kisha kuuawa? Waafrika hatuaminiki?

Ni jambo la kushangaza sana kuona wanandani wako wanakugeuka na kusuka mipango ya kukuua. Maana madaraka ya Afrika yanashangaza sana.

Blaise Compaore alimgeuka mtu wake wa karibu kabisa Thomasa Isidore Sankara na kisha kumuua. Na yeye akachukua madaraka

Mobutu Seseseko alimgeuka Patrice Lumumba na kisha akapanga njama za kumuua akishirikiana na mashirika ya kijasusi ya ya mabeberu.

Tafawa Balewa alifanyiwa usailiti mbaya sana na kisha kuuawa kama mnyama. Na waliomsaliti ni watu wa karibu na walimuua na kufanikisha walichotaka.

Kwa ufupi kama taifa tujitafakari sana. Maana Afrika is not good.
Nyankyurungu2020:

Kiongozi kama uliingia kwa kusaidiwa na jeshi na wakati huo ulikuwa dhaifu ni rahisi kufunguliwa. Lkn pia nchi yenye sheria kandamizi inakuwa na jeshi imara ni rahisi pia kupinduliwa. Kama umeingia kwa nguvu ya umma ni tofauti.
 
Conscipiracy zinasema ni biological weapons ndo zilitumika, biological assassination.
Walete ushahidi sasa. Muhimu nchi inaendelea vizuri mno bila mtu yule. Tuna furaha, uhuru na amani vilivyotoweshwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom