Kwanini viongozi wa upinzani wasiachane na siasa na kufanya biashara nyingine ?

Kwa usawa huu ni ndoto sana upinzani kushinda serikali za mitaa na hata tu uchaguzi wa udiwani , ubunge , Urais ! Ni kama tu hawatashinda tena. Washukuru awamu zilizopita za kudekezana mpaka watu wanaitwa Ikulu kunywa juice baridiii...

Ni DED / DC /DAS / R C /RAS / RPC gani ndani ya nchi hii atakubali kuwa na chembe ya mpinzani eneo lake ? Ni nani atakubali mpinzani atangazwe na aapishwe ?

Ni ngumu sana mpinzani kushinda kwa Tanzania hii ya JPM kwa haya makubwa anayofanya :-

1. Reli ya SGR

2.Elimu bure

3. Mradi wa Stigler's George

4. Ununuzi wa ndege ATC

5. Uwajibikaji na adabu kwa watumishi wa umma

6. Mahakama ya mafisadi

7. Miradi ya umeme , maji , barabara , mazingira

8. Serikali kuhamia Dodoma

9. Ufufuaji wa viwanda nchini

10. Kupunguza safari za nje zisizo na tija

11. Kuzuia siasa ili watu wafanye kazi kwa nguvu

12. Viwanja vya ndege

13. Kufufua shirika la reli TRC

Kama unataka maendeleo unataka nini zaidi ?

Wapinzani watatoboaje kwenye game hili ?

Kwanini wasitumie mtaji walioupata ili kufanya kazi zingine ?

Kuna ulazima sana wao kuendelea kufanya siasa ?

Watafute miradi ya kufanya.

JPM atosha.
Ulichojivunia ni viongozi na vyombo vya dola na vya maamuzi au kazi nzuri ya Jpm ?!. Kama ni vyombo vya dola hata kina Amin walivitumia !!. Lakini kama ni hiyo inayoitwa kazi nzuri. Aachie wananchi waamue
 
Kwa usawa huu ni ndoto sana upinzani kushinda serikali za mitaa na hata tu uchaguzi wa udiwani , ubunge , Urais ! Ni kama tu hawatashinda tena. Washukuru awamu zilizopita za kudekezana mpaka watu wanaitwa Ikulu kunywa juice baridiii...

Ni DED / DC /DAS / R C /RAS / RPC gani ndani ya nchi hii atakubali kuwa na chembe ya mpinzani eneo lake ? Ni nani atakubali mpinzani atangazwe na aapishwe ?

Ni ngumu sana mpinzani kushinda kwa Tanzania hii ya JPM kwa haya makubwa anayofanya :-

1. Reli ya SGR

2.Elimu bure

3. Mradi wa Stigler's George

4. Ununuzi wa ndege ATC

5. Uwajibikaji na adabu kwa watumishi wa umma

6. Mahakama ya mafisadi

7. Miradi ya umeme , maji , barabara , mazingira

8. Serikali kuhamia Dodoma

9. Ufufuaji wa viwanda nchini

10. Kupunguza safari za nje zisizo na tija

11. Kuzuia siasa ili watu wafanye kazi kwa nguvu

12. Viwanja vya ndege

13. Kufufua shirika la reli TRC

Kama unataka maendeleo unataka nini zaidi ?

Wapinzani watatoboaje kwenye game hili ?

Kwanini wasitumie mtaji walioupata ili kufanya kazi zingine ?

Kuna ulazima sana wao kuendelea kufanya siasa ?

Watafute miradi ya kufanya.

JPM atosha.
Na siku upinzani ukifa Watanzania tuwe tayari kuona hii nchi ikifa kama Zimbabwe.. Hapa tulipo tuna karibia kaburini. Hivi hamuwezi kuangalia uchumi ukoje kati ya Serikali ya Mh. Kikwete na hii miaka minne ya awamu hii yenu??
 
dah hili swali lako ni sawa na kumuuliza babako kwanini asimuache mamako aoe mwanamke mwingine
 
maswali mengine bwana sasa Kwa Nini usimshauri mama yako aachane na baba yako na KIBAMIA CHAKE!
 
Kwa usawa huu ni ndoto sana upinzani kushinda serikali za mitaa na hata tu uchaguzi wa udiwani , ubunge , Urais ! Ni kama tu hawatashinda tena. Washukuru awamu zilizopita za kudekezana mpaka watu wanaitwa Ikulu kunywa juice baridiii...

Ni DED / DC /DAS / R C /RAS / RPC gani ndani ya nchi hii atakubali kuwa na chembe ya mpinzani eneo lake ? Ni nani atakubali mpinzani atangazwe na aapishwe ?

Ni ngumu sana mpinzani kushinda kwa Tanzania hii ya JPM kwa haya makubwa anayofanya :-

1. Reli ya SGR

2.Elimu bure

3. Mradi wa Stigler's George

4. Ununuzi wa ndege ATC

5. Uwajibikaji na adabu kwa watumishi wa umma

6. Mahakama ya mafisadi

7. Miradi ya umeme , maji , barabara , mazingira

8. Serikali kuhamia Dodoma

9. Ufufuaji wa viwanda nchini

10. Kupunguza safari za nje zisizo na tija

11. Kuzuia siasa ili watu wafanye kazi kwa nguvu

12. Viwanja vya ndege

13. Kufufua shirika la reli TRC

Kama unataka maendeleo unataka nini zaidi ?

Wapinzani watatoboaje kwenye game hili ?

Kwanini wasitumie mtaji walioupata ili kufanya kazi zingine ?

Kuna ulazima sana wao kuendelea kufanya siasa ?

Watafute miradi ya kufanya.

JPM atosha.
Bila shaka utakuwa huna akili , maana hueleweki kama kikwazo ni hao Ma RC na Ma DED au kikwazo ni hayo maendeleo unayoyasema , Bali kinachofahamika ni kwamba ccm haiwezi kushinda uchaguzi wowote wa halali
 
Kwa usawa huu ni ndoto sana upinzani kushinda serikali za mitaa na hata tu uchaguzi wa udiwani , ubunge , Urais ! Ni kama tu hawatashinda tena. Washukuru awamu zilizopita za kudekezana mpaka watu wanaitwa Ikulu kunywa juice baridiii...

Ni DED / DC /DAS / R C /RAS / RPC gani ndani ya nchi hii atakubali kuwa na chembe ya mpinzani eneo lake ? Ni nani atakubali mpinzani atangazwe na aapishwe ?

Ni ngumu sana mpinzani kushinda kwa Tanzania hii ya JPM kwa haya makubwa anayofanya :-

1. Reli ya SGR

2.Elimu bure

3. Mradi wa Stigler's George

4. Ununuzi wa ndege ATC

5. Uwajibikaji na adabu kwa watumishi wa umma

6. Mahakama ya mafisadi

7. Miradi ya umeme , maji , barabara , mazingira

8. Serikali kuhamia Dodoma

9. Ufufuaji wa viwanda nchini

10. Kupunguza safari za nje zisizo na tija

11. Kuzuia siasa ili watu wafanye kazi kwa nguvu

12. Viwanja vya ndege

13. Kufufua shirika la reli TRC

Kama unataka maendeleo unataka nini zaidi ?

Wapinzani watatoboaje kwenye game hili ?

Kwanini wasitumie mtaji walioupata ili kufanya kazi zingine ?

Kuna ulazima sana wao kuendelea kufanya siasa ?

Watafute miradi ya kufanya.

JPM atosha.

Kama hayatusaidii kutuondolea njaa ni bure hayana msaada kwetu
 
Kwa nini usianze na huyo Jiwe wako astaafu siasa maana hakuna alichokifanya hata kimoja chenye manufaa kwa watanzania na mpaka sasa hata atakacyofanya hatofanikiwa hata kimoja maana kawadhulumu mamilioni ya watu haki zao ,aliowabomolea nyumba ,aliowafukuza kazi sasa laana hao wote na wake zao ,waume zao na watoto wao nakwambia Jiwe hata afanye kitu gani hatofanikiwa anapoteza muda tu bora aachie ngazi akakae burigichato au akitaka aende kuwaomba msamaha wote aliowakosea mmoja mmoja mpaka awamalize .
 
Kwa usawa huu ni ndoto sana upinzani kushinda serikali za mitaa na hata tu uchaguzi wa udiwani , ubunge , Urais ! Ni kama tu hawatashinda tena. Washukuru awamu zilizopita za kudekezana mpaka watu wanaitwa Ikulu kunywa juice baridiii...

Ni DED / DC /DAS / R C /RAS / RPC gani ndani ya nchi hii atakubali kuwa na chembe ya mpinzani eneo lake ? Ni nani atakubali mpinzani atangazwe na aapishwe ?

Ni ngumu sana mpinzani kushinda kwa Tanzania hii ya JPM kwa haya makubwa anayofanya :-

1. Reli ya SGR

2.Elimu bure

3. Mradi wa Stigler's George

4. Ununuzi wa ndege ATC

5. Uwajibikaji na adabu kwa watumishi wa umma

6. Mahakama ya mafisadi

7. Miradi ya umeme , maji , barabara , mazingira

8. Serikali kuhamia Dodoma

9. Ufufuaji wa viwanda nchini

10. Kupunguza safari za nje zisizo na tija

11. Kuzuia siasa ili watu wafanye kazi kwa nguvu

12. Viwanja vya ndege

13. Kufufua shirika la reli TRC

Kama unataka maendeleo unataka nini zaidi ?

Wapinzani watatoboaje kwenye game hili ?

Kwanini wasitumie mtaji walioupata ili kufanya kazi zingine ?

Kuna ulazima sana wao kuendelea kufanya siasa ?

Watafute miradi ya kufanya.

JPM atosha.

Nadhani unatakiwa uwasifie hao Wapinzani kwani hakuna asiyejua kuwa Rais Magufuli anatekeleza yale Masuala muhimu ambayo Wapinzani walikuwa wakiyapigia sana Kelele. Hakuna mambo ambayo anayafanya leo Rais Magufuli hayakusemwa au kuanishwa na Wapinzani kwa miaka mingi iliyopita.
 
Watanzania ndo maana tunafeli hata mitihani
Mwenye uzi anapaswa kupingwa kwa Facts siyo matusi

Anyway Urais ni zaidi ya alivyovitaja hapo
1.Tunataka uhuru wa kujieleza na kuongea
2.Tunataka amani itamalaki hatutaki watu kupotea kwa kutekwa
3.Elimu bure nakubaliana na wewe. Ila ni Elimu Mbovu sana, mitaala aiendani na maisha halisi ambayo Mtanzania anatakiwa kuyaishi baada ya shule
4.Makadirio mabaya ya ushuru na kuwaumiza wafanya biashara,
5.Utumbuaji majipu pengine bila kufuata utaratibu,
6.Haki za Raia ziko wapi
7.Demokrasia iko wapi
8.Upendeleo ndani ya Viongozi wa Serikali,
9.Mikopo ya Elimu ya Juu umeendelea kuwa wimbo
10.Uchumi umeyumba bwana
Dah ni Mengi sana
 
Kwa usawa huu ni ndoto sana upinzani kushinda serikali za mitaa na hata tu uchaguzi wa udiwani , ubunge , Urais ! Ni kama tu hawatashinda tena. Washukuru awamu zilizopita za kudekezana mpaka watu wanaitwa Ikulu kunywa juice baridiii...

Ni DED / DC /DAS / R C /RAS / RPC gani ndani ya nchi hii atakubali kuwa na chembe ya mpinzani eneo lake ? Ni nani atakubali mpinzani atangazwe na aapishwe ?

Ni ngumu sana mpinzani kushinda kwa Tanzania hii ya JPM kwa haya makubwa anayofanya :-

1. Reli ya SGR

2.Elimu bure

3. Mradi wa Stigler's George

4. Ununuzi wa ndege ATC

5. Uwajibikaji na adabu kwa watumishi wa umma

6. Mahakama ya mafisadi

7. Miradi ya umeme , maji , barabara , mazingira

8. Serikali kuhamia Dodoma

9. Ufufuaji wa viwanda nchini

10. Kupunguza safari za nje zisizo na tija

11. Kuzuia siasa ili watu wafanye kazi kwa nguvu

12. Viwanja vya ndege

13. Kufufua shirika la reli TRC

Kama unataka maendeleo unataka nini zaidi ?

Wapinzani watatoboaje kwenye game hili ?

Kwanini wasitumie mtaji walioupata ili kufanya kazi zingine ?

Kuna ulazima sana wao kuendelea kufanya siasa ?

Watafute miradi ya kufanya.

JPM atosha.
.....
......nyanoko
 
Siasa ni kujitolea sio biashara. Watu wameenda upinzani kwa mapenzi ya nchi yao na sio biashara. Kama ni biashara ingekuwa zaidi CCM kwenye kazi na vitengo
 
Kwahiyo nchi zilizoendelea nazo hazifanyi SIASA kwasababu kama ni maendeleo hayo uliyoyataja si lolote si chochote lakini viongozi wa upinzani huko na vyama vya upinzani vipo na vinaendelea kufanya siasa!
 
Naunga mkono hoja

Mnaoishi kwa shemeji wa kiume mna raha sana

Milio na mingurumo ya Dada yako ndio huamua shemeji akupe kiasi gani!

Ungekuwa una mshahara wako au biashara zako usingeongea hayo

Uzuri wa shemeji huo

Back
Top Bottom