Kwanini viongozi wa upinzani wasiachane na siasa na kufanya biashara nyingine ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Kwa usawa huu ni ndoto sana upinzani kushinda serikali za mitaa na hata tu uchaguzi wa udiwani , ubunge , Urais ! Ni kama tu hawatashinda tena. Washukuru awamu zilizopita za kudekezana mpaka watu wanaitwa Ikulu kunywa juice baridiii...

Ni DED / DC /DAS / R C /RAS / RPC gani ndani ya nchi hii atakubali kuwa na chembe ya mpinzani eneo lake ? Ni nani atakubali mpinzani atangazwe na aapishwe ?

Ni ngumu sana mpinzani kushinda kwa Tanzania hii ya JPM kwa haya makubwa anayofanya :-

1. Reli ya SGR

2.Elimu bure

3. Mradi wa Stigler's George

4. Ununuzi wa ndege ATC

5. Uwajibikaji na adabu kwa watumishi wa umma

6. Mahakama ya mafisadi

7. Miradi ya umeme , maji , barabara , mazingira

8. Serikali kuhamia Dodoma

9. Ufufuaji wa viwanda nchini

10. Kupunguza safari za nje zisizo na tija

11. Kuzuia siasa ili watu wafanye kazi kwa nguvu

12. Viwanja vya ndege

13. Kufufua shirika la reli TRC

Kama unataka maendeleo unataka nini zaidi ?

Wapinzani watatoboaje kwenye game hili ?

Kwanini wasitumie mtaji walioupata ili kufanya kazi zingine ?

Kuna ulazima sana wao kuendelea kufanya siasa ?

Watafute miradi ya kufanya.

JPM atosha.
 
Ametosha kwa mama yako labda ili baba yako akae pembeni
 
Mtoa uzi huu wewe ni JF delinquent wa karne na uzi wako ni gobbledegook.hayo yote uliyoyaorodhesha hapo hakuna hata moja ambalo Taifa letu limenufaika nalo,Elimu BURE IPO WAPI?,mbona mimim sijaona shule inayotoa hiyo elimu bure uliyoisemea?hiyo no 5 hadi leo bado kuna watu wengi mno including oiu members wanaolalamika kuhusu upatikanaji wa huduma ,mahospitalini ni vilio tu,vitambulisho hadi leo ni shida,passport nayo ni shida kuipata(elewa ni haki yetu),TRC sio kweli imefufuliwa bado imekufa,serikali bado ipo Dar haijahamia DODOMA,Mahakama ya ufisadi (pls nipe mifano miwili tu ya fisadi aliyehukumiwa na mahakama hiyo).elewa kuwa sio wote ni yes kuna wanaosoma to understand.
 
Kwa usawa huu ni ndoto sana upinzani kushinda serikali za mitaa na hata tu uchaguzi wa udiwani , ubunge , Urais ! Ni kama tu hawatashinda tena. Washukuru awamu zilizopita za kudekezana mpaka watu wanaitwa Ikulu kunywa juice baridiii...

Ni DED / DC /DAS / R C /RAS / RPC gani ndani ya nchi hii atakubali kuwa na chembe ya mpinzani eneo lake ? Ni nani atakubali mpinzani atangazwe na aapishwe ?

Ni ngumu sana mpinzani kushinda kwa Tanzania hii ya JPM kwa haya makubwa anayofanya :-

1. Reli ya SGR

2.Elimu bure

3. Mradi wa Stigler's George

4. Ununuzi wa ndege ATC

5. Uwajibikaji na adabu kwa watumishi wa umma

6. Mahakama ya mafisadi

7. Miradi ya umeme , maji , barabara , mazingira

8. Serikali kuhamia Dodoma

9. Ufufuaji wa viwanda nchini

10. Kupunguza safari za nje zisizo na tija

11. Kuzuia siasa ili watu wafanye kazi kwa nguvu

12. Viwanja vya ndege

13. Kufufua shirika la reli TRC

Kama unataka maendeleo unataka nini zaidi ?

Wapinzani watatoboaje kwenye game hili ?

Kwanini wasitumie mtaji walioupata ili kufanya kazi zingine ?

Kuna ulazima sana wao kuendelea kufanya siasa ?

Watafute miradi ya kufanya.

JPM atosha.
Huu ubongo umekaa wapi sijui?
 
Eti stiglers George?

Hahahaha, George ndio nini?

Ni Gorge we kunguni wa CCM
 
CCM BiLa kutumia nguvu hawa mbuliii kitu kabisa .Najua watavuraga uchaguzi ila ukweli usiopingika uchaguzi ukiwa huru na wa haki CCM hawapati kitu kabisa
 
Kwa usawa huu ni ndoto sana upinzani kushinda serikali za mitaa na hata tu uchaguzi wa udiwani , ubunge , Urais ! Ni kama tu hawatashinda tena. Washukuru awamu zilizopita za kudekezana mpaka watu wanaitwa Ikulu kunywa juice baridiii...

Ni DED / DC /DAS / R C /RAS / RPC gani ndani ya nchi hii atakubali kuwa na chembe ya mpinzani eneo lake ? Ni nani atakubali mpinzani atangazwe na aapishwe ?

Ni ngumu sana mpinzani kushinda kwa Tanzania hii ya JPM kwa haya makubwa anayofanya :-

1. Reli ya SGR

2.Elimu bure

3. Mradi wa Stigler's George

4. Ununuzi wa ndege ATC

5. Uwajibikaji na adabu kwa watumishi wa umma

6. Mahakama ya mafisadi

7. Miradi ya umeme , maji , barabara , mazingira

8. Serikali kuhamia Dodoma

9. Ufufuaji wa viwanda nchini

10. Kupunguza safari za nje zisizo na tija

11. Kuzuia siasa ili watu wafanye kazi kwa nguvu

12. Viwanja vya ndege

13. Kufufua shirika la reli TRC

Kama unataka maendeleo unataka nini zaidi ?

Wapinzani watatoboaje kwenye game hili ?

Kwanini wasitumie mtaji walioupata ili kufanya kazi zingine ?

Kuna ulazima sana wao kuendelea kufanya siasa ?

Watafute miradi ya kufanya.

JPM atosha.
pumbavu
 
Huu ni ufinyu mkubwa wa akili. Kama huna la maana la kuandika kaa kimya badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani.

Kwa usawa huu ni ndoto sana upinzani kushinda serikali za mitaa na hata tu uchaguzi wa udiwani , ubunge , Urais ! Ni kama tu hawatashinda tena. Washukuru awamu zilizopita za kudekezana mpaka watu wanaitwa Ikulu kunywa juice baridiii...

Ni DED / DC /DAS / R C /RAS / RPC gani ndani ya nchi hii atakubali kuwa na chembe ya mpinzani eneo lake ? Ni nani atakubali mpinzani atangazwe na aapishwe ?

Ni ngumu sana mpinzani kushinda kwa Tanzania hii ya JPM kwa haya makubwa anayofanya :-

1. Reli ya SGR

2.Elimu bure

3. Mradi wa Stigler's George

4. Ununuzi wa ndege ATC

5. Uwajibikaji na adabu kwa watumishi wa umma

6. Mahakama ya mafisadi

7. Miradi ya umeme , maji , barabara , mazingira

8. Serikali kuhamia Dodoma

9. Ufufuaji wa viwanda nchini

10. Kupunguza safari za nje zisizo na tija

11. Kuzuia siasa ili watu wafanye kazi kwa nguvu

12. Viwanja vya ndege

13. Kufufua shirika la reli TRC

Kama unataka maendeleo unataka nini zaidi ?

Wapinzani watatoboaje kwenye game hili ?

Kwanini wasitumie mtaji walioupata ili kufanya kazi zingine ?

Kuna ulazima sana wao kuendelea kufanya siasa ?

Watafute miradi ya kufanya.

JPM atosha.
 
Wananchi hawahitaji madege yenu hayo yaliyonunuliwa kifisadi kila kukicha maisha yanazidi kuwa magumu watu wanakula mlo mmoja unakuja kuzungumza upuuzi huu
 
Back
Top Bottom