Kwanini viongozi wa upinzani wanaonekana kuwa na upeo mkubwa kuliko wa chama tawala?

Nimekuwa nikifuatilia sana hotuba mbalimbali za viongozi katika kada zote, pia nimekuwa nikifuatilia Bunge nimekuwa nikipata kigugumizi hasa nilipokuwa nikiona wabunge wa CCM licha ya wingi wao ila hawana mchango wowote hata kidogo.

Nenda uone akina Heche, Bulaya, Lema na wengine wa upinzani ndio wabunge pekee wanaopigania uhai wa wananchi na kuonekana wana uchungu zaidi kuzidi wenzio. Balaa la mwaka ni hotuba aliyoitoa mh Freeman Mbowe muda mfupi uliopita hakika ilijaa mwanga na dira pia amezidi hata Rais kabisa, mimi nilijisahau nikadhani ni Rais wa nchi

Sasa nini kilichopo hapo, Je Selikali inayoongoza raia ni gege fulani linalotetea maslahi binafsi au nini hasa kilichopo baina ya watu hawa!

Ndo hayo karibu.
Kuna msemo wa kiswahili unasema

Wingi si hoja

Umewahi kuuisikia ?

kush and Wisdom
 
Nimecheka Sana dah.... Jamaa hajui hata vitu vidogo tu vya juzi, ndio maana video conference ya juzi ya maboss wa Africa katoka nduki
Zito aliwahi kusema jamaa ni mshamba
Yaani mshamba haswaaaa

kush and Wisdom
 
Wew ni mshabik wa Mbowe,wapinzani wengi wasanii tu,wengi wamehama vyama kwa tamaaa,Afrika wengi wakipata madaraka ubnafsi tu.leo hii ukiwapa inchi CHADEMA watakushangaza,unaweza sema bora waliotoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa nikifuatilia sana hotuba mbalimbali za viongozi katika kada zote, pia nimekuwa nikifuatilia Bunge nimekuwa nikipata kigugumizi hasa nilipokuwa nikiona wabunge wa CCM licha ya wingi wao ila hawana mchango wowote hata kidogo.

Nenda uone akina Heche, Bulaya, Lema na wengine wa upinzani ndio wabunge pekee wanaopigania uhai wa wananchi na kuonekana wana uchungu zaidi kuzidi wenzio. Balaa la mwaka ni hotuba aliyoitoa mh Freeman Mbowe muda mfupi uliopita hakika ilijaa mwanga na dira pia amezidi hata Rais kabisa, mimi nilijisahau nikadhani ni Rais wa nchi

Sasa nini kilichopo hapo, Je Selikali inayoongoza raia ni gege fulani linalotetea maslahi binafsi au nini hasa kilichopo baina ya watu hawa!

Ndo hayo karibu.
Hata maskini ana mawazo mazuri sana ya kumshauri Mzee Bakhressa (AZAM) jinsi ya kupiga pesa ya nguvu na kutajirika zaidi ya alivyo sasa! Ahahahahahah!
 
Back
Top Bottom