Kwanini viongozi wa upinzani wanaonekana kuwa na upeo mkubwa kuliko wa chama tawala?

akatanyukuile

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
285
500
Nimekuwa nikifuatilia sana hotuba mbalimbali za viongozi katika kada zote, pia nimekuwa nikifuatilia Bunge nimekuwa nikipata kigugumizi hasa nilipokuwa nikiona wabunge wa CCM licha ya wingi wao ila hawana mchango wowote hata kidogo.

Nenda uone akina Heche, Bulaya, Lema na wengine wa upinzani ndio wabunge pekee wanaopigania uhai wa wananchi na kuonekana wana uchungu zaidi kuzidi wenzio. Balaa la mwaka ni hotuba aliyoitoa mh Freeman Mbowe muda mfupi uliopita hakika ilijaa mwanga na dira pia amezidi hata Rais kabisa, mimi nilijisahau nikadhani ni Rais wa nchi

Sasa nini kilichopo hapo, Je Selikali inayoongoza raia ni gege fulani linalotetea maslahi binafsi au nini hasa kilichopo baina ya watu hawa!

Ndo hayo karibu.
 
goggles

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,456
2,000
Nimekua nikifuatilia sana hotuba mbalimbali za viongozi katika kada zote, pia nimekua nikifuatilia bunge nimekua nikipata kigugumizi hasa nilipokua nikiona wabunge wa ccm licha ya wingi wao ila hawana mchango wowote hata kidogo. Nenda uone akina Heche, akina Bulaya,akina Lema, na wengine wa upinzani ndo wabunge pekee wanao pigania uhai wa wanach na kuonekana wana uchungu zaid kuzid wenzio. BALAA la mwaka ni hotuba aliyoitoa mh Free man mbowe mda mfup uliopita hakika ilijaa mwanga na dira pia amezid hata rais wanch kabisa mm nilijisahau nikadhan ni rais wa nch, sasa nini kilichopo hapo, je selikali inayoongoza raia ni gege flan la wa.... linalotetea masilai binafs au nini hasa kilichopo baina ya watu hawa!!!! Ndo hayo karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaonekana kuwa na upeo mkubwa kwa sababu unawapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
5,243
2,000
Nimekuwa nikifuatilia sana hotuba mbalimbali za viongozi katika kada zote, pia nimekuwa nikifuatilia Bunge nimekuwa nikipata kigugumizi hasa nilipokuwa nikiona wabunge wa CCM licha ya wingi wao ila hawana mchango wowote hata kidogo.

Nenda uone akina Heche, Bulaya, Lema na wengine wa upinzani ndio wabunge pekee wanaopigania uhai wa wananchi na kuonekana wana uchungu zaidi kuzidi wenzio. Balaa la mwaka ni hotuba aliyoitoa mh Freeman Mbowe muda mfupi uliopita hakika ilijaa mwanga na dira pia amezidi hata Rais kabisa, mimi nilijisahau nikadhani ni Rais wa nchi

Sasa nini kilichopo hapo, Je Selikali inayoongoza raia ni gege fulani linalotetea maslahi binafsi au nini hasa kilichopo baina ya watu hawa!

Ndo hayo karibu.
Nchi zilizoendelea hubadilisha chama tawala kila miaka 4-8 sisi miaka 60 sasa ni chama kile kile ndio maana viongozi wa chama tawala wanajisahau na kuwa wazembe. Janga likitokea wanasepa na kwenda kujificha badala ya kuwa mstari wa mbele.
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
15,071
2,000
Ccm hawajawahi kua na akili timamu...... kazi yao ni kupika taarifa za mapato, taarifa za kukua kwa uchuki wkt uhalisia unaonekana mtaani....
Hawa mbwa walisema sisi sasa ni dona kantri.....
Ukija kwenye uhalisia wa namna wanavyopambana na umasikini ni kilio cha kusaga meno......
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
74,125
2,000
Nimekuwa nikifuatilia sana hotuba mbalimbali za viongozi katika kada zote, pia nimekuwa nikifuatilia Bunge nimekuwa nikipata kigugumizi hasa nilipokuwa nikiona wabunge wa CCM licha ya wingi wao ila hawana mchango wowote hata kidogo.

Nenda uone akina Heche, Bulaya, Lema na wengine wa upinzani ndio wabunge pekee wanaopigania uhai wa wananchi na kuonekana wana uchungu zaidi kuzidi wenzio. Balaa la mwaka ni hotuba aliyoitoa mh Freeman Mbowe muda mfupi uliopita hakika ilijaa mwanga na dira pia amezidi hata Rais kabisa, mimi nilijisahau nikadhani ni Rais wa nchi

Sasa nini kilichopo hapo, Je Selikali inayoongoza raia ni gege fulani linalotetea maslahi binafsi au nini hasa kilichopo baina ya watu hawa!

Ndo hayo karibu.
Mkuu umeuliza swali lililotukuka mno ! ngoja nifuturu kwanza nakuja
 
Kaka pembe

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
327
500
Jibu liko comment #6

Nimeishiwa pozi ulipomtaja mbunge wa Jimbo langu "John Heche"...Mungu wangu!!!!!!
 
Bursting

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
255
500
Nimekuwa nikifuatilia sana hotuba mbalimbali za viongozi katika kada zote, pia nimekuwa nikifuatilia Bunge nimekuwa nikipata kigugumizi hasa nilipokuwa nikiona wabunge wa CCM licha ya wingi wao ila hawana mchango wowote hata kidogo.

Nenda uone akina Heche, Bulaya, Lema na wengine wa upinzani ndio wabunge pekee wanaopigania uhai wa wananchi na kuonekana wana uchungu zaidi kuzidi wenzio. Balaa la mwaka ni hotuba aliyoitoa mh Freeman Mbowe muda mfupi uliopita hakika ilijaa mwanga na dira pia amezidi hata Rais kabisa, mimi nilijisahau nikadhani ni Rais wa nchi

Sasa nini kilichopo hapo, Je Selikali inayoongoza raia ni gege fulani linalotetea maslahi binafsi au nini hasa kilichopo baina ya watu hawa!

Ndo hayo karibu.
Ni kwa sababu wana mawazo kinyume na yale ya serikali
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom