Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,633
- 27,023
Pia ni takwa la kikatiba ya chama kuwa mtu yeyote anaweza kugombea na kushinda!Kama wameshinda wabunge sawa,katiba imeruhusu yeyote kugombea!

Najaribu kujiuliza huwa sipati majibu. Kwa nini viongozi wengi wa kanda wa chadema ni wabunge.
Hivi hakuna watu wengine kwenye kanda wakagombea hizi nafasi ili baadae waje kugombea nafasi za kitaifa au ubunge?
Kumpa nafasi ya kiongozi wa kanda mbunge fulani kusema kweli ni kumtwisha zigo lingine la madaraka ambalo linahitaji muda mwingi.
Fikiria ameenda bungeni kwa miezi 3, je shughuli za kikanda zitafanyika kweli achilia mbali shughuli za jimboni kwake?
Hamuwezi kujua mna viongozi wengi wazuri wazuri pasipo ku wa groom wengine. Hii tabia ya power monopoly sio nzuri katika ujengaji wa chama.

To safe guard the status quo.Najaribu kujiuliza huwa sipati majibu. Kwa nini viongozi wengi wa kanda wa chadema ni wabunge.
Hivi hakuna watu wengine kwenye kanda wakagombea hizi nafasi ili baadae waje kugombea nafasi za kitaifa au ubunge?
Kumpa nafasi ya kiongozi wa kanda mbunge fulani kusema kweli ni kumtwisha zigo lingine la madaraka ambalo linahitaji muda mwingi.
Fikiria ameenda bungeni kwa miezi 3, je shughuli za kikanda zitafanyika kweli achilia mbali shughuli za jimboni kwake?
Hamuwezi kujua mna viongozi wengi wazuri wazuri pasipo ku wa groom wengine. Hii tabia ya power monopoly sio nzuri katika ujengaji wa chama.
Joka bhana.....hujui kuwa ili uwe Waziri lazima uwe Mbunge?viking, Mbona mawaziri ni wabunge?
Kwani kuna MTU alizuiwa kugombea? Demokrasia ilifanya kazi yakeHuu utetezi wa katiba yao inaruhusu ni wa kijinga sana, hivi Katiba ni Quran au Biblia, wengine watapata vipi nafasi kama nafasi zote zinashikiliwa na watu hao hao?
Issue ni.rushwa wabunge Wana hell za kuhongaSo mleta mada hana hoja maana katiba ya chama inampa fursa mtu yeyote kugombea!
Tunaongelea ndani ya Chama Sio Serikali.Bunge mshoke wabunge na cjadema mshike wabunge Chama kanatakiwa kisimanie wabunge wake nyi CHADEMA wabunge Ni kotekote bunge na chamaUnafiki haujawahi kuwaacha CCM salama, yaani rais wa nchi KUMTWISHA UENYEKITI WA CHAMA TAIFA NI SAWA, wabunge wa CCM kuwa mawaziri ni sawa tena wanazunguka kama tiara hata majimboni hawakai hilo ni sawa, kalagabaho.
Hapana mkuu unaposema wengi unamaanisha majority yaani zaidi ya 50% ya kanda zilizopo.Najaribu kujiuliza huwa sipati majibu. Kwa nini viongozi wengi wa kanda wa chadema ni wabunge.
Hivi hakuna watu wengine kwenye kanda wakagombea hizi nafasi ili baadae waje kugombea nafasi za kitaifa au ubunge?
Kumpa nafasi ya kiongozi wa kanda mbunge fulani kusema kweli ni kumtwisha zigo lingine la madaraka ambalo linahitaji muda mwingi.
Fikiria ameenda bungeni kwa miezi 3, je shughuli za kikanda zitafanyika kweli achilia mbali shughuli za jimboni kwake?
Hamuwezi kujua mna viongozi wengi wazuri wazuri pasipo ku wa groom wengine. Hii tabia ya power monopoly sio nzuri katika ujengaji wa chama.
Kabla ya kuanzisha hoja fanya utafiti kwanza. Kwa mfano unaposema wengi wa wenyeviti wa kanda ni wabunge inabidi kwanza ujiulize kuna kanda ngapi? Kuna kanda 10, ni kanda ngapi zinaongozwa na wabunge, ni kanda 4, sasa lugha ya wengi inatoka wapi?Najaribu kujiuliza huwa sipati majibu. Kwa nini viongozi wengi wa kanda wa chadema ni wabunge.