Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Linalonishangaza Katiba ya nchi iko wazi kuwa mbunge lazima atokane na chama.
Na akifukuzwa uanachama sio mbunge tena.
Ni Tanzania hiyo hiyo ina Wabunge 19 waliofukuzwa uanachama lakini bado ni wabunge na mpaka leo hii wanalipwa posho na mishahara ambayo ni kodi za masikini.
Hatuwezi kuendelea kama nchi kwa vituko ambayo ni kinyume na Katiba ambayo viongozi wame apa kuilinda lakini kwa maslahi yasiyo na tija kwa wananchi wanaikanyaga.
Ndio maana wananchi wanataka katiba mpya katiba ambayo itakuwa ya wananchi.