Kimbunga ni dhorubaβ¦.kwanini kiitwe Hidaya mkuuKwamba inathibitisha uhatari wa mwanamke kwenye dunia?
Hahaha!!!!Tafsiri: Wanawake ni vimbunga.
Sio majina ya wanawake tu hata majina ya kiume Wanatoa hivyo ulivyotaja unavikumbuka kwasababu ndivyo vilivyoleta madhara zaidi.Naomba kujua kwa wale wataalamu wa haya mambo ni sawa kupewa majina ili kuweka kumbukumbu ya tukio hasa lakini ni kwanini hupewa majina ya wanawake tu.
Mfano;
Katarina
Irine
Anne
Pauline
Na Sasa pia tunaona jina la kike ni kwanini visiitwe wanaume au code name kama v.k 99 au P p 5?
Kila ukanda wanatumia namna yao ya kutoa majina,ukanda wa huku kwetu wanatoa majina kutokana na jinsia,huko maeneo ya mashariki ya mbali watoa kwa alphabetical order ya nchi zitakazo kumbwa.Naomba kujua kwa wale wataalamu wa haya mambo ni sawa kupewa majina ili kuweka kumbukumbu ya tukio hasa lakini ni kwanini hupewa majina ya wanawake tu.
Mfano;
Katarina
Irine
Anne
Pauline
Na Sasa pia tunaona jina la kike ni kwanini visiitwe wanaume au code name kama v.k 99 au P p 5?