Alafu wengi Huja kuwa walimu wa tuition na wanaishia hapo'Nimefanya uchunguzi nikabaini katika wagonjwa wa akiri 10, kati ya hao 7 wanahistoria ya kuwa na uwezo mkubwa sana darasani (vipanga).
Lakini kwa nn wao ndo wahanga wa haya magonjwa???
Wataalamu wa magonjwa ya akiri ebu nisaidieni..
Naomba kutoa hoja.
Nimefanya uchunguzi nikabaini katika wagonjwa wa akiri 10, kati ya hao 7 wanahistoria ya kuwa na uwezo mkubwa sana darasani (vipanga).
Lakini kwa nn wao ndo wahanga wa haya magonjwa???
Wataalamu wa magonjwa ya akiri ebu nisaidieni..
Naomba kutoa hoja.
Ukiachana na matamshi ya akiri ambayo sahihi ni akili... kipanga sio mwenye akili nyingi bali mpenda ngonoNimefanya uchunguzi nikabaini katika wagonjwa wa akiri 10, kati ya hao 7 wanahistoria ya kuwa na uwezo mkubwa sana darasani (vipanga).
Lakini kwa nn wao ndo wahanga wa haya magonjwa???
Wataalamu wa magonjwa ya akiri ebu nisaidieni..
Naomba kutoa hoja.
Lakini maana ina bakia palepale lkn neno kipanga mkitatha wake unaubadilisha ww nilikuwa na maana ya uwezo mkubwa wa kufaulu elimu ya darasaniUkiachana na matamshi ya akiri ambayo sahihi ni akili... kipanga sio mwenye akili nyingi bali mpenda ngono
Haya ok sawaLakini maana ina bakia palepale lkn neno kipanga mkitatha wake unaubadilisha ww nilikuwa na maana ya uwezo mkubwa wa kufaulu elimu ya darasani
inawezekana akili nyingi mawazo yake,matendo yake yakawa juu ya uwezo wako wa kupambanua ukaishia kumuona km chiziNi wazi mtu mwenye akili nyingi ubongo wake unachaji sana ndo maana "zinafyatuka." Si kawaida mwenye akili za kawaida zikafyatuka. Wenye akili ndogo wanakuwa mazezeta au mataahira. Majiniasi huwa zinafyatuka ghafla. Kuwa na akili nyingi (genius) ni hatari kwa afya. Tuwasikie wataalamu zaidi.
normal na abnormal inategemea perception ya jamii inayokuzunguka....kama jamii yako haina utamaduni wa kufikiri sana tegemea ukiwa mtu wa kufikiria sana...jamii inaweza kukuona kama mtu uliechiziKatika somo la Psychology clas letu tukafundishwa katika kuangalia tabia za kawaida na zisizo za kawaida, genius na kichaa wote huhesabiwa kuwa abnormal its a matter of tym before a genius crosses the line akaingia kwa mwenzie. Tukauliza "Kichaa anaweza akacross line na kua genius?" Jibu ikawa hakuna hilo once genius akicross line ndo kimoja.
Jamaa na ndugu zangu waliofikwa na ghasia hii..Umefanyia uchunguzi wapi?
wodi ya vichaa?
Umesema jambo la maana kabisa. Genius ni mtu aliye na akili zisizo za kawaida, yaani ziko juu sana. Ndo maana anakuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa kichaa kwa sababu akili yake inachaji sana sana. Wakati wowote inafyatuka. Na hakika wengi ambao akili yao imefyatuka ni watu wenye akili nyingi (majiniasi).Katika somo la Psychology clas letu tukafundishwa katika kuangalia tabia za kawaida na zisizo za kawaida, genius na kichaa wote huhesabiwa kuwa abnormal its a matter of tym before a genius crosses the line akaingia kwa mwenzie. Tukauliza "Kichaa anaweza akacross line na kua genius?" Jibu ikawa hakuna hilo once genius akicross line ndo kimoja.
Cc TANZANIA ONE ELIASAlafu wengi Huja kuwa walimu wa tuition na wanaishia hapo'
inaokana na wewe wakati unafanya huo uchunguzi ulikuwa na matatizo n kama hayo, hivi inakuwaje mtu anakuwa na akili nyingi ana shindwa kubuni hata tooth pick, je akina New ton, Faraday,na wavumbuzi wengine wangekuwa vichaa zaidi, hayo ni matatizo tuNimefanya uchunguzi nikabaini katika wagonjwa wa akiri 10, kati ya hao 7 wanahistoria ya kuwa na uwezo mkubwa sana darasani (vipanga).
Lakini kwa nn wao ndo wahanga wa haya magonjwa???
Wataalamu wa magonjwa ya akiri ebu nisaidieni..
Naomba kutoa hoja.