Kwanini vijana wenye uwezo mkubwa darasani wengi wanapata magonjwa ya akili?

jijayetu

JF-Expert Member
Jul 15, 2016
722
549
Nimefanya uchunguzi nikabaini katika wagonjwa wa akili 10, kati ya hao 7 wanahistoria ya kuwa na uwezo mkubwa sana darasani (vipanga).
Lakini kwanini wao ndo wahanga wa haya magonjwa?

Wataalamu wa magonjwa ya akili hebu nisaidieni.

Naomba kutoa hoja.
 
Nimefanya uchunguzi nikabaini katika wagonjwa wa akiri 10, kati ya hao 7 wanahistoria ya kuwa na uwezo mkubwa sana darasani (vipanga).
Lakini kwa nn wao ndo wahanga wa haya magonjwa???

Wataalamu wa magonjwa ya akiri ebu nisaidieni..

Naomba kutoa hoja.

Moja kati ya sababu kubwa inaweza kuwa mazingira yetu hayaruhusu mtu mwenye uwezo wa hali ya juu kuweza kujiendeleza na kufikia malengo yake hivyo watu very intelligent kwa kuwa wana uwezo mkubwa wa kufikiri huishia kuchanganyikiwa kwani wanajua kabisa wana uwezo wa kufanya zaidi lkn mazingira yanawakwamisha, hiyo ndiyo moja ya sababu na nyingine pia ni huzuni kulingana na jinsi mambo yanavyokwenda labda kisiasa au kifamilia wanaona kabisa kwamba jamii inaangamia kwa kuchagua njia isiyo sahihi lkn hawana uwezo wa kubadilisha chochote hivyo basi huishia kuchanganyikiwa tu!
 
Nimefanya uchunguzi nikabaini katika wagonjwa wa akiri 10, kati ya hao 7 wanahistoria ya kuwa na uwezo mkubwa sana darasani (vipanga).
Lakini kwa nn wao ndo wahanga wa haya magonjwa???

Wataalamu wa magonjwa ya akiri ebu nisaidieni..

Naomba kutoa hoja.
Ukiachana na matamshi ya akiri ambayo sahihi ni akili... kipanga sio mwenye akili nyingi bali mpenda ngono
 
Umenena vyema lakini hili swala la kisiasa napongana na ww kwa sababu wengi ni vijana kabisa ndo wanamaliza form 4/6 bado hawajakutana ata na changamoto za maisha anapata hii short ya akiri na wengi hawaponi kabisa.

Kuna mwl wangu wa chuo pia anasemekana enzi zake alikuwa anapata mpka GPA ya 5 lkn mpaka sasa anaokota makopo (sad).
 
Ukiachana na matamshi ya akiri ambayo sahihi ni akili... kipanga sio mwenye akili nyingi bali mpenda ngono
Lakini maana ina bakia palepale lkn neno kipanga mkitatha wake unaubadilisha ww nilikuwa na maana ya uwezo mkubwa wa kufaulu elimu ya darasani
 
Ni wazi mtu mwenye akili nyingi ubongo wake unachaji sana ndo maana "zinafyatuka." Si kawaida mwenye akili za kawaida zikafyatuka. Wenye akili ndogo wanakuwa mazezeta au mataahira. Majiniasi huwa zinafyatuka ghafla. Kuwa na akili nyingi (genius) ni hatari kwa afya. Tuwasikie wataalamu zaidi.
 
Katika somo la Psychology clas letu tukafundishwa katika kuangalia tabia za kawaida na zisizo za kawaida, genius na kichaa wote huhesabiwa kuwa abnormal its a matter of tym before a genius crosses the line akaingia kwa mwenzie. Tukauliza "Kichaa anaweza akacross line na kua genius?" Jibu ikawa hakuna hilo once genius akicross line ndo kimoja.
 
inawezekana akili nyingi mawazo yake,matendo yake yakawa juu ya uwezo wako wa kupambanua ukaishia kumuona km chizi
 
Katika somo la Psychology clas letu tukafundishwa katika kuangalia tabia za kawaida na zisizo za kawaida, genius na kichaa wote huhesabiwa kuwa abnormal its a matter of tym before a genius crosses the line akaingia kwa mwenzie. Tukauliza "Kichaa anaweza akacross line na kua genius?" Jibu ikawa hakuna hilo once genius akicross line ndo kimoja.
normal na abnormal inategemea perception ya jamii inayokuzunguka....kama jamii yako haina utamaduni wa kufikiri sana tegemea ukiwa mtu wa kufikiria sana...jamii inaweza kukuona kama mtu uliechizi
 
Katika somo la Psychology clas letu tukafundishwa katika kuangalia tabia za kawaida na zisizo za kawaida, genius na kichaa wote huhesabiwa kuwa abnormal its a matter of tym before a genius crosses the line akaingia kwa mwenzie. Tukauliza "Kichaa anaweza akacross line na kua genius?" Jibu ikawa hakuna hilo once genius akicross line ndo kimoja.
Umesema jambo la maana kabisa. Genius ni mtu aliye na akili zisizo za kawaida, yaani ziko juu sana. Ndo maana anakuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa kichaa kwa sababu akili yake inachaji sana sana. Wakati wowote inafyatuka. Na hakika wengi ambao akili yao imefyatuka ni watu wenye akili nyingi (majiniasi).
 
Nimefanya uchunguzi nikabaini katika wagonjwa wa akiri 10, kati ya hao 7 wanahistoria ya kuwa na uwezo mkubwa sana darasani (vipanga).
Lakini kwa nn wao ndo wahanga wa haya magonjwa???

Wataalamu wa magonjwa ya akiri ebu nisaidieni..

Naomba kutoa hoja.
inaokana na wewe wakati unafanya huo uchunguzi ulikuwa na matatizo n kama hayo, hivi inakuwaje mtu anakuwa na akili nyingi ana shindwa kubuni hata tooth pick, je akina New ton, Faraday,na wavumbuzi wengine wangekuwa vichaa zaidi, hayo ni matatizo tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom