Kwanini vijana wenye uwezo mkubwa darasani wengi wanapata magonjwa ya akili?

itara

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2013
Messages
2,185
Points
2,000

itara

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2013
2,185 2,000
Kwa majibu mepesi ya fastafasta.

Ni kweli wengi wenye akili nyingi esp maskini wanafyatuka akili...
A) kwa sababu ya mazingira na maisha magumu wanapotokea.

B) mila na tamaduni duni.

C) elimu wanazo fundishwa.. hapa ntaeleza kwa ufupi .. elimu au maarifa sensitive yanaweza kuwafyatua akili. Wajuzi watanielewa.

D) matatizo ya kwenye ubongo..inaweza kuwa ni abnormal au ni kutokana na majeraha ukubwani au wakati wakuzaliwa nk.

Hitimisho\pendekezo kwa walimu ukishamtambua mwfunzi kuwa yupo soo bright usimfundishe mambo ya kiakili kama falsafa, psychology au hata tiba na hizi sayansi za jamii kwani akili zao zipo more practically tofauti na hizi zetu ambazo zipo theoretically.. hii itwasaidia kutojihusisha na real event...

Nimebuni tu yote hayo ..kwa kaelimu kangu ka std vii c, wajuzi watasahihisha
 

sacajo

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2016
Messages
1,391
Points
2,000

sacajo

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2016
1,391 2,000
inaokana na wewe wakati unafanya huo uchunguzi ulikuwa na matatizo n kama hayo, hivi inakuwaje mtu anakuwa na akili nyingi ana shindwa kubuni hata tooth pick, je akina New ton, Faraday,na wavumbuzi wengine wangekuwa vichaa zaidi, hayo ni matatizo tu
Mkuu mbona huja mtaja Erasto B. Mpemba......au kwa7bu yeye ni mtanzaniaa
 

Babuyao

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2009
Messages
1,732
Points
1,225

Babuyao

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2009
1,732 1,225
Mwenyekitu, umesema kweli kabisa. Majiniasi wengi hawana creativity. Ila wana photografic memory hawasahau kitu. Wanameza yote na kukumbuka yote. Ila ubunifu wengi wao hawana.
 

ISIS

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
91,557
Points
2,000

ISIS

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
91,557 2,000
Mwenyekitu, umesema kweli kabisa. Majiniasi wengi hawana creativity. Ila wana photografic memory hawasahau kitu. Wanameza yote na kukumbuka yote. Ila ubunifu wengi wao hawana.
Hapa si kweli. ....hao ni mabigwa wa ku create. ...ubaya wakiwa kwenye society ambayo haimpi nafasi ya kufanya hivyo. ...
 

ISIS

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
91,557
Points
2,000

ISIS

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
91,557 2,000
Ukibahatika kukutana au kusoma na hawa jamaa wanaakili isiyo ya kawaida pengine serikali ifanye mpango kwa hawa watu kuendelezwa kimtaala zaidi.
Hapo umeongea. ....ndiyo maana kuna FREEMASONRY ...hawa members huwa ni genius. .....na wana power of attraction. .
 

pumzihaiuzwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2015
Messages
2,827
Points
2,000

pumzihaiuzwi

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2015
2,827 2,000
Japokua sina uhakika na source yako kuna kiukweli kidogo nchi za wenzetu hawa watu wenye IQ kubwa kwao ni potential sana wanaandaliwa kua FBI wengine CIA na sekta nyeti za kutumia akili za serikali zao mi namjua mmoja nilisoma nae darasani alikua haachii namba moja wilaya mpaka mkoa alijulikana sasahivi anaendesha daladala nihuruma mkuu sikuiz sion hata zile shule ziliitwa za vipaj kama kinara tena zimetupwa huko mbali.
 

Forum statistics

Threads 1,392,178
Members 528,565
Posts 34,100,769
Top