Kwanini vijana wengi hawatumii condom?

Mimi Condom waga hazinitoshi coz ni ndogo sana, yaani nikivalisha kichwa2 inachanika, Hell No.!!
 
HIV ni just imaginary ,kondom ni utumwa ingawa kuna magonjwa kama gono,kaswende ila huwezi kupata ukimwi kama huna tatizo na afya yako eti kisa hujatumia kondom.
najua wachache ndio watanielewa
Mwagika mkuu
 
π•Œπ•Ÿπ•’π•œπ•¦π•π•’π•›π•– π•‘π•šπ•‘ π•Ÿπ••π•’π•Ÿ π•ͺ𝕒 π•˜π•’π•Ÿπ••π•’
 
HIV ni just imaginary ,kondom ni utumwa ingawa kuna magonjwa kama gono,kaswende ila huwezi kupata ukimwi kama huna tatizo na afya yako eti kisa hujatumia kondom.
najua wachache ndio watanielewa
Acha uongo aisee..utawaponza wenzako.
 
Kwani ndugu zetu Wasabato wanalizungumziaje suala hili?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajua hata ukitumia Condom ikipasuka na ukabadilisha baada ya game utawaza sana.

All in All Mwanaume kupata Umeme sio Rahisi(Kama hakuna michubuko) njia pekee ya Umeme kutoka kwa manzi kuingia kwa men ni Urethra ambayo sio rahisi.

Wanawake ndio hatari(Sehemu kubwa ya maumbile yao iko wazi) kwa wanaume kozi akieenda Kavu alafu mchizi akamwaga risk ni very high.

In short kama demu wako unayeenda nae kavu akichepuka akapata basi you are at very risk.

Ni mara kadhaa familia huenda kupima alafu wanakuta wife amewaka alafu mchizi yuko fresh



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…