Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,915
hivi watoto wa adam na hawa wali zaanaje?

Kua mpagani then hautakua unatenda dhambi!

mbona mm nina mpnz wangu_lakn hatutendi dhambi,..inategemeana na wewe mwenyewe unavyojifikiria

mi nadhani wanaosema ile ngomosi ni dhambi naona hawana nguvu za kuyapiga maji ya mto wa uzima
Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda dhambi? Mambo mengine yanaudhi kweli!!!!

kama si dhambi kwa nini mnajificha?
Kwani wanandoa hua wanafanya mbele ya watu?!
Nimeipenda hii,kumbe dhambi ni mtazamo wako tu.

Kwani wanandoa hua wanafanya mbele ya watu?!