mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,641
mkuu swali lako lijibiwa litaleta mgogoro ka swali la ZANZIBAR NI NCHI AU SIO NCHIhivi watoto wa adam na hawa wali zaanaje?
mkuu swali lako lijibiwa litaleta mgogoro ka swali la ZANZIBAR NI NCHI AU SIO NCHIhivi watoto wa adam na hawa wali zaanaje?
kwani hata ukihalalishwa jinsi wasemavyo, mnafanya hadharani???kama si dhambi kwa nini mnajificha?

Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda dhambi? Mambo mengine yanaudhi kweli!!!!
.kama si dhambi kwa nini mnajificha?
Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda dhambi? Mambo mengine yanaudhi kweli!!!!
mkuu hebu tuambie taratibu za kulala na mwanamke, wengine hatujuiHuyo mwanamke unayelelenaye umemwumba mwenyewe?Kulala na mwanamke pasipo taratibu zinazokubalika ni dhambi bwanaaa.....!
i dont care as long as amepita miaka 18 na ni mtu mzima. ila anaweza kuwa miaka 18 lakini ni mwanafunzi, hapo nitamshauriBinti yako ambaye hajaolewa, au tuseme hana mtu, akiwa analala ovyo ovyo na wanaume mitaani eti kwa sababu hana mwenyewe, wewe kama mzazi utapenda au utafurahia?
kwani hilo bomba ninalilaza kwa mtaro wa jamii au ni kwa mtaro wa niliyekubaliana nae. kama kuna maelewano kati ya wawili na wanaridhia kufanya hivyo tatizo liko wapi? itakua dha,bi tu kama ni kubakaMume pia dhambi yake inakuwa ni kuwadhalilisha wazazi wake na jamii inayomzunguka kwa sababu anafanya hayo kinyume na taratibu zinazokubalika na jamii hiyo.
wewe umekomaa kweli? au we ndo semenya wa pili nini? uchafu ndo nini tena?? wacha hizo beste, ingekua uchafu nani unadhani angeliwakimbiza wadada.Nakushauri kama unataka kufanya uchafu huo, iwapo unaweza umba mwanamke wa kwako mwenyewe kisha fanya naye huo uchafu, hapo nakuhakikishia utakuwa huna dhambi kabisa, kwa sababu utakuwa unafanya tendo hilo kwa mtu uliyemwumba mwenyewe, huna wa kumwudhi wala kumhuzunisha
Kwa nini uzinzi ni dhambi? Watu tumekubaliana kwa ridhaa yetu kula raha, sijamchukua mke wa mtu. Huyu niliyemchukua mimi hana mume, bwana wala boyfriend. Kwanini kwa kulala naye niambiwe mimetenda dhambi? Mambo mengine yanaudhi kweli!!!!
Katika Mithali 6:32 Biblia inasema Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
1 Corinthians 6: 9 Au je, hamjui kwamba watu wabaya hawataurithi Utawala wa Mungu? Msijidanganye! Watu wanaoishi maisha ya uasherati, wanaoabudu sanamu, wazinzi, au walawiti,
10 wevi, wachoyo, walevi, wasengenyaji, wanyang`anyi, hao wote hawatashiriki Utawala wa Mungu.
11 Baadhi yenu mlikuwa hivyo; lakini sasa mmeoshwa, mkafanywa watakatifu, na kupatanishwa na Mungu kwa jina la Bwana Yesu Kristo na kwa Roho wa Mungu wetu.
Kabisa! Naona ume 'derive from the first principles'. Big up!BUJIBUJI!.. Kulala na mwanamke pasipo taratibu zinazokubalika ni dhambi bwanaaa.....! Huyo mwanamke unayelelenaye umemwumba mwenyewe? Binti yako ambaye hajaolewa, au tuseme hana mtu, akiwa analala ovyo ovyo na wanaume mitaani eti kwa sababu hana mwenyewe, wewe kama mzazi utapenda au utafurahia? Kutokupenda kwako au kutofurahia kitendo afanyacho binti yako, ndiyo dhambi yenyewe kwa huyo mume anayelala naye na pia kwa binti mwenyewe anayelala na huyo mume. Dhambi yao ni kwasababu wanakuudhi wewe kama mzazi pamoja na jamii inayowazunguka pia. Mume pia dhambi yake inakuwa ni kuwadhalilisha wazazi wake na jamii inayomzunguka kwa sababu anafanya hayo kinyume na taratibu zinazokubalika na jamii hiyo.
Hali kama hiyo, kwa sababu unawaudhi wazazi na jamii kwa ujumla mbele za Mungu pia ni dhambi.
Nakushauri kama unataka kufanya uchafu huo, iwapo unaweza umba mwanamke wa kwako mwenyewe kisha fanya naye huo uchafu, hapo nakuhakikishia utakuwa huna dhambi kabisa, kwa sababu utakuwa unafanya tendo hilo kwa mtu uliyemwumba mwenyewe, huna wa kumwudhi wala kumhuzunisha.

BUJIBUJI!.. Kulala na mwanamke pasipo taratibu zinazokubalika ni dhambi bwanaaa.....! Huyo mwanamke unayelelenaye umemwumba mwenyewe? Binti yako ambaye hajaolewa, au tuseme hana mtu, akiwa analala ovyo ovyo na wanaume mitaani eti kwa sababu hana mwenyewe, wewe kama mzazi utapenda au utafurahia? Kutokupenda kwako au kutofurahia kitendo afanyacho binti yako, ndiyo dhambi yenyewe kwa huyo mume anayelala naye na pia kwa binti mwenyewe anayelala na huyo mume. Dhambi yao ni kwasababu wanakuudhi wewe kama mzazi pamoja na jamii inayowazunguka pia. Mume pia dhambi yake inakuwa ni kuwadhalilisha wazazi wake na jamii inayomzunguka kwa sababu anafanya hayo kinyume na taratibu zinazokubalika na jamii hiyo.