Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,633
- 5,615
Hebu cheki na jamaa zako wa USAID wakuambie hali ikoje kwasasa.Kumekuwa na nadharia tangu enzi za Nyerere mpaka sasa kwamba ajira ni utumishi wa umma tu, kisa kikubwa eti kuna security.
Lakini ukiangalia wengi wa hao watumishi, ni watu wanaostruggle sana, angalia walimu, madaktari,wauguzi, nk. Asilimia 95 yao ni watu wanaoteseka na maisha.
Mshahara wa kawaida sana, wamejaa madeni , benki mpaka vikoba, hawana la maana. Lakini wanag'ang'ana tu. Mtu anasubiri kustaafu, ndio apate kihela labda cha kupumulia maana lazima atakuwa na madeni ya kutosha. Na atakufa siku si nyingi maana jua linakuwa lishazama.
Baadhi ya watumishi kwenye strategic positions ndio utawaona wananufaika na utumishi wa umma, mfano wale wa bungeni, baadhi ya wizara, mashirika na taasisi za umma. Na hao si wengi kama hawa wa kawaida.
Je, 2025 bado kuna watu wanaamini kuwa maisha ni kufanya kazi serikalini? Huu uoga utaisha lini?
Ukiangalia kwa jicho lingine utakuwa ni incompetence inawasukuma huko maana asilimia kubwa ya graduates hawana skills za kuajirika sehemu za maana. Wataharibu tu. International job market ipo kubwa sana lakini hutoona wanahangaika nayo kama ilivyo wenzetu wa Kenya au Wanigeria.
Je mpaka 2025 hii mentality ya kitumwa na ya ki coward inafaa?
Utumishi wa umma si kwa ajili ya kuwa Tajiri ni kwa kutoa huduma kwa wanachi. Wewe umejua kusoma na kuandika kwa utumishi wa umma. Leo unaona waliokusomesha na kukutibu ukiumwa tangu mtoto mchanga mpaka leo kama wamepotea wakati bado unawahitaji. Fikiri up ya mawazo yako.. ila ungesema watumishi wa umma wengi wai hawafanyi kazi ipasavyo na ni wezi ningekuelewa.Kumekuwa na nadharia tangu enzi za Nyerere mpaka sasa kwamba ajira ni utumishi wa umma tu, kisa kikubwa eti kuna security.
Lakini ukiangalia wengi wa hao watumishi, ni watu wanaostruggle sana, angalia walimu, madaktari,wauguzi, nk. Asilimia 95 yao ni watu wanaoteseka na maisha.
Mshahara wa kawaida sana, wamejaa madeni , benki mpaka vikoba, hawana la maana. Lakini wanag'ang'ana tu. Mtu anasubiri kustaafu, ndio apate kihela labda cha kupumulia maana lazima atakuwa na madeni ya kutosha. Na atakufa siku si nyingi maana jua linakuwa lishazama.
Baadhi ya watumishi kwenye strategic positions ndio utawaona wananufaika na utumishi wa umma, mfano wale wa bungeni, baadhi ya wizara, mashirika na taasisi za umma. Na hao si wengi kama hawa wa kawaida.
Je, 2025 bado kuna watu wanaamini kuwa maisha ni kufanya kazi serikalini? Huu uoga utaisha lini?
Ukiangalia kwa jicho lingine utakuwa ni incompetence inawasukuma huko maana asilimia kubwa ya graduates hawana skills za kuajirika sehemu za maana. Wataharibu tu. International job market ipo kubwa sana lakini hutoona wanahangaika nayo kama ilivyo wenzetu wa Kenya au Wanigeria.
Je mpaka 2025 hii mentality ya kitumwa na ya ki coward inafaa?
Raha yake nini?Kufanya kazi Serikalini ni raha sana.
Sasa kama mtu alishajenga dream house yake ya ghorofa, pesa nzuri , network, vitu ambavyo mpaka mtumishi ata akistaafu hawezi kuwa navyo, who is the looser?Hebu cheki na jamaa zako wa USAID wakuambie hali ikoje kwasasa.
Sio tunang'angania.....tumepigwa pini hatuna pa kwenda....hakuna ajira na sisi tunatakiwa kuishi......Labda utupe michongoKumekuwa na nadharia tangu enzi za Nyerere mpaka sasa kwamba ajira ni utumishi wa umma tu, kisa kikubwa eti kuna security.
Lakini ukiangalia wengi wa hao watumishi, ni watu wanaostruggle sana, angalia walimu, madaktari,wauguzi, nk. Asilimia 95 yao ni watu wanaoteseka na maisha.
Mshahara wa kawaida sana, wamejaa madeni , benki mpaka vikoba, hawana la maana. Lakini wanag'ang'ana tu. Mtu anasubiri kustaafu, ndio apate kihela labda cha kupumulia maana lazima atakuwa na madeni ya kutosha. Na atakufa siku si nyingi maana jua linakuwa lishazama.
Baadhi ya watumishi kwenye strategic positions ndio utawaona wananufaika na utumishi wa umma, mfano wale wa bungeni, baadhi ya wizara, mashirika na taasisi za umma. Na hao si wengi kama hawa wa kawaida.
Je, 2025 bado kuna watu wanaamini kuwa maisha ni kufanya kazi serikalini? Huu uoga utaisha lini?
Ukiangalia kwa jicho lingine utakuwa ni incompetence inawasukuma huko maana asilimia kubwa ya graduates hawana skills za kuajirika sehemu za maana. Wataharibu tu. International job market ipo kubwa sana lakini hutoona wanahangaika nayo kama ilivyo wenzetu wa Kenya au Wanigeria.
Je mpaka 2025 hii mentality ya kitumwa na ya ki coward inafaa?
Ndio kazi za serikali zina securityKumekuwa na nadharia tangu enzi za Nyerere mpaka sasa kwamba ajira ni utumishi wa umma tu, kisa kikubwa eti kuna security.
Ni kweli wana struggle ila sekta binafsi wana struggle zaidi.Lakini ukiangalia wengi wa hao watumishi, ni watu wanaostruggle sana, angalia walimu, madaktari,wauguzi, nk. Asilimia 95 yao ni watu wanaoteseka na maisha.
Ni kweli mshahara wa kawaida. Sasa wapi kuna mshahara mnono.Mshahara wa kawaida sana, wamejaa madeni , benki mpaka vikoba, hawana la maana. Lakini wanag'ang'ana tu.
Kwahiyo ni nini mbadala wake?Mtu anasubiri kustaafu, ndio apate kihela labda cha kupumulia maana lazima atakuwa na madeni ya kutosha. Na atakufa siku si nyingi maana jua linakuwa lishazama.
Tu- assume siyo waoga wanatakiwa wafanye nini?Baadhi ya watumishi kwenye strategic positions ndio utawaona wananufaika na utumishi wa umma, mfano wale wa bungeni, baadhi ya wizara, mashirika na taasisi za umma. Na hao si wengi kama hawa wa kawaida.
Je, 2025 bado kuna watu wanaamini kuwa maisha ni kufanya kazi serikalini? Huu uoga utaisha lini?
Incompetence ni nini kwa tafsiri yako?Ukiangalia kwa jicho lingine utakuwa ni incompetence inawasukuma huko maana asilimia kubwa ya graduates hawana skills za kuajirika sehemu za maana.
International job markets ipi?Wataharibu tu. International job market ipo kubwa sana lakini hutoona wanahangaika nayo kama ilivyo wenzetu wa Kenya au Wanigeria.
Mentality nzuri ni ipi kwako?Je mpaka 2025 hii mentality ya kitumwa na ya ki coward inafaa?
Ni kazi kwa ajili ya watu wavivu na wasio na ubunifu. Ufanye usifanye utalipwaKufanya kazi Serikalini ni raha sana.
Hivi kumbe hata usipofanya unalipwa?Ni kazi kwa ajili ya watu wavivu na wasio na ubunifu. Ufanye usifanye utalipwa
hatari sanaHuyu aliyeandika haya ni winga kariakoo au ana duka mtandao anapiga debe bidhaa za watu!
Kila siku mnapiga makelele humu ajira za serikali zisiwe za kudumu!
Mnapinga teuzi Kila siku!
Halafu mkishiba uji mnatukana watu!
Be your own boss. Acha uoga na uvivu kwa kujificha kwenye kichaka cha security. Security without financial freedom is madness. Mnadaiwa na mabenki kazi kukopakopa tu. Maisha gani hayo? Incompetence sababu hamna skills ku diversify job market. Diploma holder wa Kenya anampita mbali sana Degree au masters holder wa Tanzania. Daktari wa Tanzania nje ya mipaka yake ni takataka, ata mwalimu. Takataka. Only a handful. Ndio maana mnajificha huko serikalini maana wanawalea madhaifu.Ndio kazi za serikali zina security
Ni kweli wana struggle ila sekta binafsi wana struggle zaidi.
- Hakuna kufukuzana muda wowote
- Hata kama mshahara kidogo, lakini kupata ni uhakika
- Sekta binafsi, unaweza kukaa hata miezi 3 hujalipwa
Ni kweli mshahara wa kawaida. Sasa wapi kuna mshahara mnono.
Kwahiyo ni nini mbadala wake?
Tu- assume siyo waoga wanatakiwa wafanye nini?
Incompetence ni nini kwa tafsiri yako?
International job markets ipi?
au umeshaona jobs za madalali wa Qatar, Saudi Arabia, Myanmaar
Mentality nzuri ni ipi kwako?
Kwahiyo kufanya kazi serikali TZ, ni utumwa ila kwenye international market siyo utumwa?
Huyu aliyeandika haya ni winga kariakoo au ana duka mtandao anapiga debe bidhaa za watu!
Kila siku mnapiga makelele humu ajira za serikali zisiwe za kudumu!
Mnapinga teuzi Kila siku!
Halafu mkishiba uji mnatukana watu!
TZ kuna wafanyakazi wa serikali hawazidi LAKI 6.Be your own boss. Acha uoga na uvivu kwa kujificha kwenye kichaka cha security. Security without financial freedom is madness. Mnadaiwa na mabenki kazi kukopakopa tu. Maisha gani hayo? Incompetence sababu hamna skills ku diversify job market. Diploma holder wa Kenya anampita mbali sana Degree au masters holder wa Tanzania. Daktari wa Tanzania nje ya mipaka yake ni takataka, ata mwalimu. Takataka. Only a handful. Ndio maana mnajificha huko serikalini maana wanawalea madhaifu.
Sasa kama unaishi hivyo, maisha ya watu wengine na mikoponyao inakuhusu nini?We sema tu, ila jua sina mkopo benki, ninanyumba kali, gari kali na sina stress za kuamka asubuhi kukimbizana na muda. Si wazi tarehe ya mshahara, nina uhuru, financial freedom. Wewe huna, una survive badala ya kuishi. Utakopa mpaka uzeeke.
Waoga wa maisha. Botswana ilikuwa zamani. Saivi akanyagi lofa pale.Sasa kama unaishi hivyo, maisha ya watu wengine na mikoponyao inakuhusu nini?
Unawalipia kodi na chakula??
Uoga wa maisha unao.wewe, maana inao ekana maisha ya watu yanakukereketa kinoma yaani.Waoga wa maisha. Botswana ilikuwa zamani. Saivi akanyagi lofa pale.
Lala mapema wewe kesho usijechelewa kazi yako ya kimaskini mikopo shindilii.Uoga wa maisha unao.wewe, maana inao ekana maisha ya watu yanakukereketa kinoma yaani.
Hakuna tajiri wa hivyo.
Wababaishaji ndio wapiga kelele