Kwanini uuzaji wa Kitimoto hufanyika maeneo ya ufichoni?

Mapondo Mapoka

JF-Expert Member
Feb 10, 2015
261
103
Natumaini hamjambo.
Kama wewe ni mdau kidogo au sana katika maswala ya ulaji ama ununuzi wa nyama ya nguruwe, basi utakua unanielewa zaidi katika uzi huu.

Hivi ni kwanini maeneo karibia yote kwa Dar hata baadhi ya mikoa mengine nyama hii pendwa huuzwa mafichoni kama magendo hivi?
Ni kwanini pia huwa hakuna mabango mazuri ya kuvutia wateja?

Karibuni wazoefu wa mambo mtuelimishe zaidi.
 
Unataka na mimi na itikadi zangu kali nile mdudu huku naonekana waziwazi.
 
Natumaini hamjambo.
Kama wewe ni mdau kidogo au sana katika maswala ya ulaji ama ununuzi wa nyama ya nguruwe, basi utakua unanielewa zaidi katika uzi huu.

Hivi ni kwanini maeneo karibia yote kwa Dar hata baadhi ya mikoa mengine nyama hii pendwa huuzwa mafichoni kama magendo hivi?
Ni kwanini pia huwa hakuna mabango mazuri ya kuvutia wateja?

Karibuni wazoefu wa mambo mtuelimishe zaidi.
Ni Upendo wa Kristo tu!
 
Utafiti wako ni batili maana umeufanya Saudia ukitarajia kuutumia Tanzania.
 
Back
Top Bottom