Kama tulijua tutawaachia Wamachinga Kurejea maeneo Wasiyotakiwa Kisheria kwanini tumepoteza Pesa nyingi kutengeneza Mabango Makubwa ya Kuwazuia?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,052
107,535
Kwakuwa tulikuwa tunajua fika kuwa tutawafukuza Wamachinga maeneo Wasiyotakiwa Kisheria kufanya Biashara zao na baada ya Wiki Mbili tutawaonea Huruma, huku Wengine wakitupa Rushwa ili Kuwarejesha kwanini Hela ( Mamilioni ) tuliyoyapoteza Kutengeneza Mabango Makubwa ya Kuwazuia Wamachinga kufanya Biashara sehemu wasizotakiwa tusingeitumia Kununulia Dawa za Hospitalini, Vifaa Tiba, Madawati kwa Wanafunzi Wetu na zingine Kusomesha zaidi Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wenye Sifa lakini kwa Ukiritimba Wetu ( hasa ulioko HESLB ) wamekosa Mkopo / Mikopo?

Wenye Mamlaka mkiambiwa hamna Akili mnakasirika na kuanza Kutukalia Vikao Great and Critical Thinker akina GENTAMYCINE ili mtufanye kuwa Historia hapa Ulimwenguni.

Hovyo kabisa.
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom