Emily magnus
JF-Expert Member
- Apr 7, 2026
- 299
- 486
- Thread starter
- #41
sawa hayana miongozo, lakini sisi inatakiwa tuwe miongozo.
sawa hayana miongozo, lakini sisi inatakiwa tuwe miongozo.
Utakuwa na hekma hadi utashangaa.kama ndo ivo, basi ngoja niongeze kipimo, mara 4 hivi kwa mwaka inatosha?
With time inafika wakati hizo ishu hazikusumbui kabisa!
Hahaha 😂 🤣 au basi...With time inafika wakati hizo ishu hazikusumbui kabisa!
Huu nao ni udhaifu, huna tofauti na unaowaongelea mkuu."Apo hata mazoea yakizidi, akiileta/akijilengesha NAICHAPA kiroho nzuri".