HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Inshallah kiongozi [emoji23][emoji23][emoji23]nianze kupost Subaru yangu sasa
Kuna group huwa naona matangazo haya, naishia kuyasoma tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
==================

Subari Forester no DPA
Gari kali sana,
Haina changamoto yoyote
Hiyo ni Turbo hiyo
Ina roof
Ndani safi
Haijarudiwa rangi kokote
Bei 18M tu, posho safi
Chap tuikimbize
 
😂😂😂😂😂Hahhhh Kuna na Volkswagen"tako la nyani hiyo kwenda dodoma nikugusa tu
 
Back
Top Bottom