HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@ahmet nilimwambia IAE ni nafasi yake hakutaka kuniamini hahhh
Hahaha ..wale waliopewa comment nzuri ,wazitoe tuone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] in wizy voice ... tunasubria ushuhuda wa comment ss from panel [emoji23][emoji23][emoji23]
Wengne hatujawai pewa [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom