HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mara paaap wote tumelamba asali! Lazima tukutane tuone Subaru ya wizzy
😂😂😂😂😂Kabisa lazima ninunue kilichokuwa kinanitesa aseeh afu na sitaki kupangiwa matumizi ya pesa zangu kudadeki ,jobless nipo kwenye Subaru piga horn nyingi sana njiani na kuipost sana status ,usipo view nakutumia picha inbox 😂😂😂😂
 
main-qimg-78a73abdae0e95c97b74295dc1474e04-lq.jpg
 
Back
Top Bottom