HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Huu Uzi kwa namna ulivyo ni endelevu,maana jobless Kila siku wanagraduate upyaa wakandwaji ndio usiseme,so unajikuta ukiwa unapitia Ile process nzima ya kukandwa automatic Uzi unakugusa tu
Huu uzi Haiwezi kuisha ni endelevu kwahiyo naamini utawasaidia wengi sana watajifunza humu nadhani mwaka huu karibia wote tutapata kazi kwahiyo Watakuja kuendelea wengine
 
Huu uzi Haiwezi kuisha ni endelevu kwahiyo naamini utawasaidia wengi sana watajifunza humu nadhani mwaka huu karibia wote tutapata kazi kwahiyo Watakuja kuendelea wengine

Hahaha! Itafika mahala wengi wakipata kazi, wanaobaki watakuwa kama watu waliofiwa kwa namna watavyokuwa wapweke na wengi waliopata hawataonekana tena kutokana na kubanwa na utamu wa asali.
 
Back
Top Bottom