HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Pole sana mkuu, mimi siwezi kufanya kazi Government. Kwa sababu mpaka sasa na experience ya 6 years. Then nitoke nilipo then labda niende let say Tanesco nianze na salary ya 1.8M huku waliomaliza 2021 wanachukua zaidi ya hio then mimi niwe chini yao. Siwezi kukubali hicho kitu. Maana ukiajiriwa Serikalini hata uwe na experience ya Miaka 10 ya private sector wao wanakuchukulia kama fresh hicho kitu siwez kukikubali maisha yangu yote.
Kupanga ni kuchagua.Ila usijifunge sana just lower your pride ili usonge mbele Vema kujiuliza huo mgomo ulio nao una faida gani? Focus kwenye malengo yako usijilinganishe na watu wengine.
 
Kuna watu zari kama hili limewaangukia.

Ingawa sio approach nzuri sana na inawakosesha waajiri potential and competent employees.
Kwa vipi? Sifa za msingi za hiyo kazi kama anazo basi anafundishika na kazi ataiweza. Na ni mtanzania usisahau hilo nchi ni yetu sote anaweza kufanya popote hajaandikiwa kushika chaki tu
 

Kupanga ni kuchagua.Ila usijifunge sana just lower your pride ili usonge mbele Vema kujiuliza huo mgomo ulio nao una faida gani? Focus kwenye malengo yako usijilinganishe na watu wengine.

Hiyo sio pride. Hiyo inaitwa confidence. Mtu anajiamini na uwezo wake na kitu anacholeta mezani. Unfortunately watu wa hivi tunawaonaga wanaringa lakini kuna watu wana potential ya zaidi ya serikali inachooffer. Wote tunajua serikali haina strategy nzuri ya kuvuna talents na workforce.​
 
Back
Top Bottom