oya hivi tutatoboa kweli mbona wana wanaaga mashindano hivi.naona kabisa tunaenda kua wafuta vumbi wa uzi1. Omba Mungu
2. Omba nafasi hata kama ni moja.
3. Fika oral
4. Acha malalamiko
5. Omba mungu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera mkuu usikimbilie kuoa rudishia mwili pole kwanza😄Daaah kaka wewe acha tu, Mwenyezi Mungu ni wa kushukuru sana, leo nilikua nimefunga ila nimeshindwa mpaka kula jioni na njaa sisikiiii🤗🤗🤗 ni furaha iliyoje?
Tuwe wapole na tumuombe Mungu tuu.oya hivi tutatoboa kweli mbona wana wanaaga mashindano hivi.naona kabisa tunaenda kua wafuta vumbi wa uzi
Kuna ambaye unasoma huu uzi haupo kwenye database na kitu pekee unachotumainia ni kuitwa kwenye usahili, tujipe moyo, wakati wetu utafika. Kipimo kingine cha uvumilivu wa moyo wa mwanadamu ni ule wakati wa kuyashudia na kuyafurahia mafanikio yawenzako pindi wanapo itwa kazini. kila mtu atafikiwa kwa wakati wake tusichoke wapambanajioya hivi tutatoboa kweli mbona wana wanaaga mashindano hivi.naona kabisa tunaenda kua wafuta vumbi wa uzi
Daaaah wazeeee🤗🤗Yaani sijui nimshukuru vipi mwenyezi Mungu walaah🙄 eeeh bwana eeh buyu la Asali limenidondokea(TANAPA)
Hongera mkuu usikimbilie kuoa rudishia mwili pole kwanza😄
ok ngoja tusubiriKuna ambaye unasoma huu uzi haupo kwenye database na kitu pekee unachotumainia ni kuitwa kwenye usahili, tujipe moyo, wakati wetu utafika. Kipimo kingine cha uvumilivu wa moyo wa mwanadamu ni ule wakati wa kuyashudia na kuyafurahia mafanikio yawenzako pindi wanapo itwa kazini. kila mtu atafikiwa kwa wakati wake tusichoke wapambanaji
Namimi nipo mkuu, sema nimekuwa msomaji tu na sio mchangiaji maana saiz humu ndani watu wamezidi kuchafukwa tofauti na zamaniNmesoma comments za member wa mwaka jana sion hata mmoja active lately ni ww tu umebaki basi ikawe kheri na sisi jobless 💯
Aloooh😁Hongera mzee hilo ni buyu la asali lilioongezewa na sukari juu..
Tupite humu humu wanangu hakika Mwenyezi Mungu anatenda1. Omba Mungu
2. Omba nafasi hata kama ni moja.
3. Fika oral
4. Acha malalamiko
5. Omba mungu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera sanaDaaaah wazeeee[emoji847][emoji847]Yaani sijui nimshukuru vipi mwenyezi Mungu walaah[emoji849] eeeh bwana eeh buyu la Asali limenidondokea(TANAPA)
😂😂😂Aya sawa mkuuHongera mkuu usikimbilie kuoa rudishia mwili pole kwanza😄
Asante mkuu, nanyi naamini mpo nyuma yetuHongera sana
Ikawe kheri nasi.ngoja tusubiri interview zetu.yan kuna muda unahisi ndo mimi naenda kuchukua barua migiro.Asante mkuu, nanyi naamini mpo nyuma yetu
Hongera Mkuu. Huwa Nina comment mara Moja Moja na Mimi nasubiria buyu la AsaliDaaaah wazeeee🤗🤗Yaani sijui nimshukuru vipi mwenyezi Mungu walaah🙄 eeeh bwana eeh buyu la Asali limenidondokea(TANAPA)
Hongera sana ndugDaaaah wazeeee🤗🤗Yaani sijui nimshukuru vipi mwenyezi Mungu walaah🙄 eeeh bwana eeh buyu la Asali limenidondokea(TANAPA)
Inshallah imani inaponya, kati ya kitu kilichotaka kunipoteza, nilipomaliza chuo nikakutana na kale ka skendo au kausemi ka wahitimu wengi kwamba ajira hamna, sijui mpaka uwe na mtu huko ndo unaweza kupata, eeh bwana eeeh nami nilijaa kwenye mfumo nikarudi kwetu bhana🤔Lakini maisha yaliponiponda na zile kero za nyumbani😌 Mala ooh naomba unisaidie kuosha vyombo🙄 n.k n.k, baada ya hapo ilibidi nijiulize swali moja " Hivi nimesikia story tu kwamba siwezi ajiliwa mpaka niwe na mtu kule Je, nimejaribu? Uhakika ninao wa hayo maneno? Nimeanzaje kuamini sijaanza fanya utafiti mwenyewe?" Baada ya hayo maswali machache kati ya mengi niliyojiuliza nikageukia Jamii forum ( jamii forum huwa nakimbilia sana kupata majibu ya baadhi ya maswali kwa sababu humu uwezo wa kupata ushauri bila nyodo ni kugusa na huku unakutana na baadhi ya watu wanaopitia unayopotia wewe Kwahiyo mtu akikushauri anakua na Experience) eeh bwana eeh sinikakutana na huu Uzi, nikaanza kufuatilia mdo mdo na hapo kipindi hicho nilikua nahangaika na akaunti yangu Ajira portal maana kila nilipokua najaza taarifa asilimia zilikua hazipandi bali kuishia 70% kumbe nilikua nasahau kuweka cheti cha form four 😁 baada ya kukumbuka hilo na kukiweka mambo yakatiki buana asilimia zikasoma 92🤗 nami nikasema "Unyama "😎 sasa huu uzi ukazidi kunijaza kifua nikajikuta kumbe nilichelewa 🥴 ilikua mwezi wa kumi na moja kama sio wa kumi na mbili 2023 zikatoka nafasi kwenye kada yetu na zilikua 20 MDAs and LGAs, ooh nikasema hawa naanza nao nikaaply ikakubali baada ya hapo mwezi wa pili tarehe 20 nikafanya usaili wangu wa kwanza serikalini😁( kwenda kuomba Hela ya usafiri kwenda dodoma kwa mzee alinambia " Sawa nakupa lakini sidhani kama utatoboa" nae alikua na kale ka Imani ka kijinga kanakopoteza wengi😂 kimoyo moyo nikasema nitakuprove siku moja😎)eeh bwana eeh kale ka presha kakaniharibia buana mpka natoka kwenye chumba cha usaili najisemea rohoni huku nikikumbuka usemi wa huu uzi kwamba "Nimekandwaaa"😃, tena nikasema kwamba naanza kuisahau Dodoma sitokuja kukanyaga tena huku🙄🤔baada ya kufika nikajishauri huku uzi huu ukizidi kunipa moyo kwa uchangiaji wa wadau hasa shuhuda za watu humu😃 Karoho kakajaa tenaaaa mala TANAPA hawa hapa wanataka watu 15, nikajaa kwenye mfumo, mchakato ukakamilika wa saili hapo hapo nikiwa nimemwambia mungu wangu kwamba safari ya TANAPA asinitupe bali awe nami bega kwa bega🙏🙏na kweeli mwenyezi Mungu amekua nami bega kwa benga mpaka nimepata nilichomuomba na kuambatana nae🤗Ongera sana sana ndugu.
Nasikia sauti kwa mbali inaniambia na mimi pka mwezi wa 2 nitakua nishalamba hasari.
Kuna jambo la kujigunza hakikaInshallah imani inaponya, kati ya kitu kilichotaka kunipoteza, nilipomaliza chuo nikakutana na kale ka skendo au kausemi ka wahitimu wengi kwamba ajira hamna, sijui mpaka uwe na mtu huko ndo unaweza kupata, eeh bwana eeeh nami nilijaa kwenye mfumo nikarudi kwetu bhana🤔Lakini maisha yaliponiponda na zile kero za nyumbani😌 Mala ooh naomba unisaidie kuosha vyombo🙄 n.k n.k, baada ya hapo ilibidi nijiulize swali moja " Hivi nimesikia story tu kwamba siwezi ajiliwa mpaka niwe na mtu kule Je, nimejaribu? Uhakika ninao wa hayo maneno? Nimeanzaje kuamini sijaanza fanya utafiti mwenyewe?" Baada ya hayo maswali machache kati ya mengi niliyojiuliza nikageukia Jamii forum ( jamii forum huwa nakimbilia sana kupata majibu ya baadhi ya maswali kwa sababu humu uwezo wa kupata ushauri bila nyodo ni kugusa na huku unakutana na baadhi ya watu wanaopitia unayopotia wewe Kwahiyo mtu akikushauri anakua na Experience) eeh bwana eeh sinikakutana na huu Uzi, nikaanza kufuatilia mdo mdo na hapo kipindi hicho nilikua nahangaika na akaunti yangu Ajira portal maana kila nilipokua najaza taarifa asilimia zilikua hazipandi bali kuishia 70% kumbe nilikua nasahau kuweka cheti cha form four 😁 baada ya kukumbuka hilo na kukiweka mambo yakatiki buana asilimia zikasoma 92🤗 nami nikasema "Unyama "😎 sasa huu uzi ukazidi kunijaza kifua nikajikuta kumbe nilichelewa 🥴 ilikua mwezi wa kumi na moja kama sio wa kumi na mbili 2023 zikatoka nafasi kwenye kada yetu na zilikua 20 MDAs and LGAs, ooh nikasema hawa naanza nao nikaaply ikakubali baada ya hapo mwezi wa pili tarehe 20 nikafanya usaili wangu wa kwanza serikalini😁( kwenda kuomba Hela ya usafiri kwenda dodoma kwa mzee alinambia " Sawa nakupa lakini sidhani kama utatoboa" nae alikua na kale ka Imani ka kijinga kanakopoteza wengi😂 kimoyo moyo nikasema nitakuprove siku moja😎)eeh bwana eeh kale ka presha kakaniharibia buana mpka natoka kwenye chumba cha usaili najisemea rohoni huku nikikumbuka usemi wa huu uzi kwamba "Nimekandwaaa"😃, tena nikasema kwamba naanza kuisahau Dodoma sitokuja kukanyaga tena huku🙄🤔baada ya kufika nikajishauri huku uzi huu ukizidi kunipa moyo kwa uchangiaji wa wadau hasa shuhuda za watu humu😃 Karoho kakajaa tenaaaa mala TANAPA hawa hapa wanataka watu 15, nikajaa kwenye mfumo, mchakato ukakamilika wa saili hapo hapo nikiwa nimemwambia mungu wangu kwamba safari ya TANAPA asinitupe bali awe nami bega kwa bega🙏🙏na kweeli mwenyezi Mungu amekua nami bega kwa benga mpaka nimepata nilichomuomba na kuambatana nae🤗
Hongera sanaDaaaah wazeeee🤗🤗Yaani sijui nimshukuru vipi mwenyezi Mungu walaah🙄 eeeh bwana eeh buyu la Asali limenidondokea(TANAPA)