Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,769
- 126,702
Sio mbaya tukipeana moyo, mapambano yaendelee@mwifa appreciate broo unatutia moyo sana wasaka nyoka
Sio mbaya tukipeana moyo, mapambano yaendelee@mwifa appreciate broo unatutia moyo sana wasaka nyoka
Asante...sikuwah kuwaza kuwa ntakuwa academician😀😀Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
1.5M+ unyama sana AiseeAsante...sikuwah kuwaza kuwa ntakuwa academician😀😀
Mungu yupo wakuu mshahara nilioambiwa utaingia, sijaamini aisee
Jitahidi uweke page moja kwenye barua, maneno mengi ya nini!? Izo details wakizitaka wanazipata hapo kwny portal account yako mkuu.. Kama huoni cha kupunguza basi compress file itoke single page..Hilo sio tatizo, tatizo nshaona na hiyo p. O. Box
Sawa.Jitahidi uweke page moja kwenye barua, maneno mengi ya nini!? Izo details wakizitaka wanazipata hapo kwny portal account yako mkuu.. Kama huoni cha kupunguza basi compress file itoke single page..
Ndo umwambie ivo aandike vizuri mbona hapo juu kuna space kubwa sana? Ajitahd kuweka just a neat single page.. Japokuwa not necessarily lakin hivi vitu vidogovidogo vinaweza kumchelewesha sana.Sawa.
ila n barua ya mtu ameandika maneno yake Then mm nika-copy & paste
🙏Ndo umwambie ivo aandike vizuri mbona hapo juu kuna space kubwa sana? Ajitahd kuweka just a neat single page.. Japokuwa not necessarily lakin hivi vitu vidogovidogo vinaweza kumchelewesha sana.
Asante...sikuwah kuwaza kuwa ntakuwa academician😀😀
Mungu yupo wakuu mshahara nilioambiwa utaingia, sijaamini aisee
Kwahy sasa hv ataanza kula mali safi za chuo 😂Wale wa UTI unaanza kuwaaga mdogo mdogo.😂😂😂
Kwahy sasa hv ataanza kula mali safi za chuo 😂
Awe makini na kaswende tuu 😂Kabisaa! wale watoto waliokua wabapanda school bus. Ayo ni malupu lupu pia kwa walimu wamavyuoni. 😁
Page zote zinazotaja mishahara humu ni za uongo aisee....watu wana siri kwenye mshahara...1.5M+ unyama sana Aisee
Hio kitu hairuhusiwi kabisa...ni sawa na kula mtaji kweny biasharaWale wa UTI unaanza kuwaaga mdogo mdogo.😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yaan Engineer hali kama unavyoijua jua linawaka sana hapa dodoma najikuta sina ata Mia,vocha zinanikwepa nyieee maisha haya,,,msuli wapi yaan nkisoma kidogo akili inahama na hizo maksi jamn nmewaza wametoa mtihani wa aina gani majamaa haya adi Engineer kala 2 kheee😂😂😂,haiwezekani,wananifanya kila ninapotaka kusoma nasema hapa sio hawatoi hapa😆😆😔Aisee , ukafundishe chuo na zile namba za viatu ? 🤣🤣🤣🤣
Unawajua utumishi vizuri lakini ?
Ni mwendo wa Re-advertised tu.
Kha ! Ila Utumishi , ile tatu na mbili kwa kweli sijapenda , ule ni udhalilishaji .
Naenda kufungua kesi mahakamani kuwadai utumishi fidia ya bilioni , siwezi kula mbili mimi ,mtu mzima Engineer na masharubu kwenye mashavu halafu hawa Kenge wanipe marks mbili , no way ! 😄😄😄😄😄😄
Wameharibu saikolojia yangu na heshima pia.
Electrical engineers humu ni mimi ,wewe na Marabiosh .
Mzima lakini Rahsully ?
Kimya sana msuli sana nini wa kwenda kupambana na wakuda TAA na Temesa ?
Safi sana mkuu, umeenda kuripoti kazin ukiwa na mawazo ya kulipwa 1M unakutana na 3M 🔥Page zote zinazotaja mishahara humu ni za uongo aisee....watu wana siri kwenye mshahara...
Ukiona kaz we omba acha kuangalia mshahara
Humu ndani unaambiwa kaz haifai..haina malupulupu, mambo kibao, kumbe dogo kakaa kwa shemeji anaandika tuSafi sana mkuu, umeenda kuripoti kazin ukiwa na mawazo ya kulipwa 1M unakutana na 3M 🔥
Vip ni minono zaidi ya wanazengwe wabavyotupangaga au ni midogo zaidi ya iyo?Page zote zinazotaja mishahara humu ni za uongo aisee....watu wana siri kwenye mshahara...
Ukiona kaz we omba acha kuangalia mshahara
Mishahara iko fresh tu sio kama tunavyoambiwa humu ndaniVip ni minono zaidi ya wanazengwe wabavyotupangaga au ni midogo zaidi ya iyo?
Humu ndani unaambiwa kaz haifai..haina malupulupu, mambo kibao, kumbe dogo kakaa kwa shemeji anaandika tu
Waongo hao...alaf mtu akiwa anaongea uongo lzma aweke reference kama hzo..mara kuna mjomba/kaka/dada...Sasahvi wakiwa wanaandika uwe una wa sahihisha bhana kutusaidia sisi wwngine, maana uwa wanatukataga moto sana. Oja zao utasikia kuna mshikaji wangu mmoja yuko uko namwona jinsi anavyoishi..