😀😀😀Hii ni sekretariati ya utumishi au sekretarieti ya utumwa ?
Kufanyia watu interviews halafu hawatoi Placement ,
Upuuzi gani huu ?
Ukiona huelewi basi haikuhusu.Hii thread huwa sielewi ina maana gani, kila nikisoma mara mbili mbili sielewi kabisa
😂 Kumeanza kukucha 💪Habari...Walimu wanatakiwa kucomfirm employer .....ingia kwenye account yako muda huu kacomfirm employer wako
Halafu sasa hv ety ndio anajifanya kuuliza itakuaje, hawa ndo wakienda kwenye usaili wakifukuzwa wanaona wameonewa kumbe uzembe wao tuu, yn mtu mpaka majina yametoka ety ndo anakumbuka hana cheti 🗑️n
ni uzembe amefanya kweli, maana hata hakumbuki ni mda gani amekipoteza.
Jipya nililoliona leo naona kuna mabadiliko katika fonts za maandishi.Huko Ajira portal kuna mapya gani walimu
Naona mtu anaweza kucomfirm mikoa yote miwili, h imekaaje?Habari...Walimu wanatakiwa kucomfirm employer .....ingia kwenye account yako muda huu kacomfirm employer wako
Vp app yako inakubali ku log inNaona mtu anaweza kucomfirm mikoa yote miwili, h imekaaje?
Nafikiri huu ni mtego pia....inawezekana kukafanyika oral 2 siku 1 ....au kukawa na tofauti ya siku 1...Naona mtu anaweza kucomfirm mikoa yote miwili, h imekaaje?
Dah mm natumia webVp app yako inakubali ku log in
Hapa cjawaelewa kabisa hawa walichokifanya.Nafikiri huu ni mtego pia....inawezekana kukafanyia oral 2 siku 1 ....au tofauti ya siku 1...
Chamsingi ni kuchagua mkoa mmoja wa kuupambania masomo yako.
H system bhana 😂 yn una comfirm mkoa ambao wamekuwekea pale halafu tena bado wanataka uchague mkoaNafikiri huu ni mtego pia....inawezekana kukafanyika oral 2 siku 1 ....au kukawa na tofauti ya siku 1...
Chamsingi kwao ni kuchagua mkoa mmoja wa kuupambania masomo yako.
Hapo nadhan wamefanya hivyo ili mtu achague sehem iliyo karibu yake asije sema oooh mimi nipo sumbawanga alafu interview nimepangiwa chato, hakutakua wa kumlaumu. Yani hapo maana yake chagua ambapo utaweza kwenda kwenye interview zote mbili.H system bhana 😂 yn una comfirm mkoa ambao wamekuwekea pale halafu tena bado wanataka uchague mkoa
kalipie NIDA hiyo wabadilishe iwe LaurentHivi hapa Si kubadilisha kwenye nida tu au na kwenye kuzaliwa ili yaendane na Academic yaani yawe PELIUS M LAURENT?
ACADEMIC CERTIFICATES: PELIUS M LAURENT
KUZALIWA: PELIUS MUKIZA LAURENT
NIDA: PELIUS MUKIZA KALENGELEZI
Umeingia kwenye hy system ukaona jinsi ilivyo?Hapo nadhan wamefanya hivyo ili mtu achague sehem iliyo karibu yake asije sema oooh mimi nipo sumbawanga alafu interview nimepangiwa chato, hakutakua wa kumlaumu. Yani hapo maana yake chagua ambapo utaweza kwenda kwenye interview zote mbili.
Na hiyo Mukiza iliyokwenye cheti cha kuzaliwa hata nikiiacha haina madhara? Maana nilitaka na yenyewe nikaibadilishe iwe M tuKalipie
kalipie NIDA hiyo wabadilishe iwe Laurent
Umeingia kwenye hy system ukaona jinsi ilivyo?