HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Jamani wana jamvi nina kaswali hapa, TANAPA na mimi wameniita kunikanda lakini sasa usaili wa mchujo hakuna(Alhamdulillah) usaili uliopo ni wa vitendo(zoezi la kupima Afya ) na Oral Swali langu lipo hapo kwenye zoezi la kupima Afya hamna Tumazoezi kweli hapo? Nianze kujifua?🤔View attachment 3049204
Hongera Sana mkuu hii inaonyesha tayari ushalamba asali, Mungu akujalie afya njema Tu mkuu
 
Back
Top Bottom