HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
naomba kujua hivi maeneo ya Written Interview yatatolewa wakati gani na kwa njia gani?maana katika portal sidhani kama kuna sehemu ya kudisplay hayo.Asante
Kama ni hizi written za online eneo utaandikiwa kwenye akaunti ya ajira portal utaandikiwa venue kulingana na address Yako ..na Huwa hawachelewi kama umeshaitwa bhs subiria siku tatu ama nne ukitembelea kwenye akaunti yako utaona tu venue .. Asante
 
Back
Top Bottom