HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ila PSRS...
Mama(Rais) atizame upya watu hawa sio week nzima unatoa majina haya ni Utesaji tu...
Inahitaji maombi kwa watu hawa maana tunapita kwenye joto 300c
 
Sure mkuu,mbn wanazuga sana..wanatujaza dom kule na majina yanatok ya page 1
 
Back
Top Bottom