HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu habari zenu.

Nilikua nina swali moja.

Hivi kwa mfano mtu aliyefanya oral interview ya Tutorial Assistant ya Accounting na bahati mbaya akakosa Placement.

Je huyu mtu anaweza akapata placement nyingine kupitia database ya Tutorial?
Kwani kuna database ya tutorial? Au anaweza pangiwa sehem yeyote ikiwa kama coz yake inafit?
 
ni hivi, baada ya hiki kimulimuli kuzima tutakaa wiki almost mbili hivi alafu zitatoka pdf 2..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Wanahitaji Toba hao PSRS hata hofu ya Mungu hawana vipindi hivi vya mfungo.......
Wanachoongea na kinachofanyika ni vitu tofauti bora wasiwe wanatoa matamshi kwa Umma....
Kuna siku hata Shetani naye atawakana .....
 
Back
Top Bottom