HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wanajamvi,

Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinacho endeleea?
Kwa sababu hawana uhitaji kwa sasa.

Na pia kwa sababu wanajua maisha yamekupiga ,wanaacha wakupigee wee wakikikuita umenyooka kazi unafunga vizri

Au haujapata😪😪😪😪😥☻☻☻
 
Back
Top Bottom