HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
naona psrs akili imeanza kuwakaa sawa baada ya kuona mtiti wa hizi taasis nyeti kulianzisha.

wanatangaza kujiboresha ikiwemo ishu ya database kuiweka wazi & na inbox notification ya y ulipata au hukupata kazi, ni jambo jema kwa cc watafutaji wa check number
 
Back
Top Bottom