HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naomba nianzie hapo hoja ya mwisho.

Baada ya majina kutangazwa kwa Tovuti, na mitandao ya kijamii pia wahusika hupigiwa simu kujulishwa na kama mtu yupo mbali na hawezi kufika Ofisi za Sekretarieti huwa tunatuma barua za kuitwa kazini kwa anuani za posta walizojaza kwenye portal

Dhima ya Sekretarieti ya Ajira ni Kuendesha Mchakato wa Ajira kwa Haki na Usawa. Kila Mtanzania mwenye sifa za Kuajiriwa ana fursa ya kuajiriwa.

Nafasi moja huwa inawaniwa na wastani wa wasailiwa watatu.

Tunapotangaza Nafasi ya Ajira, kila mwenye qualifications znazohusika akiomba huwa anaitwa kwenye usaili wa awali wa Mchujo ili naye awe ametendewa Haki na Mchakato huu unaendeshwa kwa Haki na Usawa.

Ukifaulu kwenye Mchujo ndo hatua ya Oral hufuata.

Kila atakayefaulu kwenye Oral Interview kwa kupata alama kuanzia 50 kwenda Juu anakuwa na sifa za Kuajiriwa.

Nafasi zinaweza tangazwa 40 na katika hao wasailiwa waliofaulu 40 hujazwa kwenye hizo nafasi lakini wanaobaki huwa wanawekwa kwenye Database, kuna Vibali vya Ajira vya taasisi mbalimbali huwa vinatoka aidha baadae au baada ya usaili wa awali kufanyika hivyo badala ya kutangaza usaili mwingine basi wale waliopo kwa Database huwa wanachukuliwa na kupelekwa kwa hizo taasisi kujaza nafasi hizo.

Kwa sasahivi Database haijawekwa open kwa kila muombaji, lengo la kwanza la kutofanya hivyo ni kutowafanya waombaji kazi kubweteka kutoomba nafasi zingine za kazi zinapotangazwa wakichukulia kuwepo kwao kwenye Database kunatosha na hawana haja ya kuomba tena ajira. Database inadumu na majina kwa muda wa mwaka mmoja tu.

Maswali huwa hayatungwi na Sekretarieti ya Ajira, bali yanaletwa na Taasisi iliyopata kibali cha kuajiri na kukabidhi hilo Jukumu kwa Sekretarieti ya Ajira.

Kama kazi ni ya Kitaaluma bas maswali yanatungwa na wanataaluma husika japo sio yote huwa ni yale ya kuclaimisha darasani mengine yanapima uelewa wako. Na hata usaishaji mitihani huwa haisahishwi na staff bali wataalam mbalimbali kutoka vyuoni, au kwenye kada husika ambao nao hawakufahamu kwakuwa hua hatuandikishi majina kwenye karatasi za mitihani so ni kama Nekta.

Marks za Mitihani yote mnayofanya huwa zinawekwa kwenye mfumo na selection inafanywa kwa mfumo kwa kucommand mfano, watu 30 kutokana na high performance zao kushuka chini wakwanza had wa 30 kisha wanapelekwa kwa vituo vya kazi
Huyu kaelezea vizuri na ndio inavyotakiwa kufanyika hivyo sasa taasisi za umma zinalalamika mpaka wanataka kujitoa PSRS wakati wao wanakuwa involved kwny mchakato kuanzia kutunga mitihani mpaka mwishowe

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo Afisa Hesabu au Mhasibu ana njaa pia huko Halmashauri?

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Nenda hizi halmashauri za mjini, kuna maafisa hesabu hadi kwenye kata maana Headquarter nafasi hakuna. Sasa kwenye kata unakula nini pale zaidi ya hela za makusanyo ya takataka. Na zikitoka laki 3, mtendaji anataka, diwani anataka vurugu tupu. Wakikuonea huruma watakupa elfu 30.
 
Hapo nimeshakuelewa

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Status mbona zina maana kama zingekuwa hazina maana not selected wangekuwa wanatokea kwenye mapdf ya placement, lakn sijawai sikia wala kuona hicho kitu.
...........Mbona kama mnachanganya vitu au mimi ndio sielewi, ukishakuwa not selected maana yake huingii oral sasa pdf utatokeaje?

au kuna wanaokuwa na status ya not selected baada ya oral?
 
Nenda hizi halmashauri za mjini, kuna maafisa hesabu hadi kwenye kata maana Headquarter nafasi hakuna. Sasa kwenye kata unakula nini pale zaidi ya hela za makusanyo ya takataka. Na zikitoka laki 3, mtendaji anataka, diwani anataka vurugu tupu. Wakikuonea huruma watakupa elfu 30.
Nimecheka sana 😃😃😃😃😃😃😃
 
Tulisema kwamba utumishi italiliwa kwa machozi na damu taasisi zikiaajiri zenyewe. Mchakato wa ajira urudi PSRS kabla mambo hayajaharibika. Tutayashuhudia ya NSSF kila mahali
Nssf ilitumwa kupima kina cha maji! Ikiweza kupita salama, msululu mrefu wa taasisi pendwa za umma utafuata!! Kama hatajitokeza mmoja kwenda mahakamani, huo ndo utakuwa mwisho wa jitihada za vijana kujipambania wenyewe bila connection yoyote!
 
Humu nadhan tunawanasheria, tujipange tukafungue kesi, wanaona vijana kumbe wapo serious.
 
Nssf ilitumwa kupima kina cha maji! Ikiweza kupita salama, msululu mrefu wa taasisi pendwa za umma utafuata!! Kama hatajitokeza mmoja kwenda mahakamani, huo ndo utakuwa mwisho wa jitihada za vijana kujipambania wenyewe bila connection yoyote!
Kabisa yaani, naona imewafanya mpaka wao psrs kutoka front.
 
Hawataki mazoea leo zamu ya TBC.
 
Attachments

  • Screenshot_20230926-081239.png
    Screenshot_20230926-081239.png
    230.7 KB · Views: 18
Back
Top Bottom