Kwanini uteuzi wa Togolani Mavula na Hoyce Temu umezua mjadala?

Tunataka tuone jukwaa letu linakuja na mada zenye changamoto za kimaendeleo ya nchi yetu!hiki ninachokiona ni matumizi mabaya ya ubongo!!!Mleta mada jitafakari!!!
 
wivu ni tatizo kubwa mnoooo
wivu ukikomaa unafunga ndoa na chukii
baadae wanazaa mtoto anaitwa umautiii
watanzania tufanye kazi kwa bidii na maarifa huku tukiamini Mungu ndo mpaji wa yoote
 
Jifunze kuheshimu wakati wa Mungu unapomfikia mja wake.

Binafsi sina uhusiano wowote na yeyote aliyeteuliwa na wala hakuna hata huo uwezekano wa kuwa siku moja ninaweza kuwa karibu nao,lakini nimeguswa sana tena kwa hisia za furaha kubwa na nimemtukuza Mungu kwa uteuzi wa Hoyce Temu.Sababu ni jinsi alivyogusa maisha ya watu kupitia kipindi chake kwenye Television.Bila shaka aligusa moyo wa Mungu pia.Mungu huyo aliyemwinua,atampa hekima na uwezo wa kufanya kazi yake vizuri.

Najua wapo wengine wanaofanya kazi kama yake ila Mungu atawainua kwa wakati sahihi.Dada wa Nitetee piausikate tamaa nakuombea Mungu akuinue kwa kadri ya Neema zake.
Sasa wewe unaleta mambo ya dini ambayo hayana ushahidi kama yako. Talk of real world without God involvement. If God does not exist How does he play part here, talk of the real world not a imaginary world guided by so called God
 
sisemi hawataweza , swali kwanini wamezua mjadala? Kuna kasoro... ndio maana wamezua mjadala

Basi tu ,watu walizoea balozi lazima atoke jeshini au Kada mtiifu wa CCM.

Hao wote ni wasomi.....Hoyce nadhani amesomea kabisa Diplomasia ,Hata Basila Mwanukuzi naye alisomea Udiplomasia.
 
Mavula:

Kwanini uteuzi wa Togolani Mavula na Hoyce Temu umezua mjadala?​

Nimejiuliza why particularly Togolani Mavula anatokea kwenye thread heading, likewise Hoyce Temu kumbe ni hivi: Huyu Togolani Mavila ana historia ya kuwa na ukaribu na Ombeni Sifue aliyekuwa Katibu Mkuu ofisi ya Rais Kikwete ambao wote ni wapare hivyo alimpa ka pendeleo fulani maana had no sifa sitahiki. soma chini

[/HEADING][/HEADING]
[HEADING=3][HEADING=3]Ngongo

JF-Expert Member​

Huyu Mavura ni Mpare uteuzi wake umewezekana kwasababu Katibu Mkuu Kiongozi ni Mpare mwenzake ebo au unajifanya hujui ukabila upo kila mahali.
Haki sawa said:
Yuko fit kwa lipi acheni uongo wenu, huyu Alimasi za UDSM bachelor yake ya PS& PA mwaka 2005 , alipata GPA ya 2.3 , huo ndio ufit? ALipewa kazi wizarani kwa kuwa baba yake Mzazi alikuwa BALOZI wa Tanzania , so alone bwana baba , sasa naona Jk kaamua kumbeba naye huyu, hana hata taaluma ya uandishi wa habari.......do I say more? Alivyokuwa Udsm akiishi Mabino hostel .........

SOMA WASIFU WAKE KWENYE THREAD HII Togolani Mavura ateuliwa kuwa msaidizi wa JK - Hotuba

2. Hoyce Temu sijui
Achana na GPA....
Kuna GPA zingine ni kubwa ila chafu.
 
Achana na GPA....
Kuna GPA zingine ni kubwa ila chafu.
za kuiba mitihani, kupewa majibu etc ... but this is our grading system, the more your GPA looks higher, the more you highlyranked/valued regardless how you got it!
 
Mavula:

Kwanini uteuzi wa Togolani Mavula na Hoyce Temu umezua mjadala?​

Nimejiuliza why particularly Togolani Mavula anatokea kwenye thread heading, likewise Hoyce Temu kumbe ni hivi: Huyu Togolani Mavila ana historia ya kuwa na ukaribu na Ombeni Sifue aliyekuwa Katibu Mkuu ofisi ya Rais Kikwete ambao wote ni wapare hivyo alimpa ka pendeleo fulani maana had no sifa sitahiki. soma chini

[/HEADING][/HEADING]
[HEADING=3][HEADING=3]Ngongo

JF-Expert Member​

Huyu Mavura ni Mpare uteuzi wake umewezekana kwasababu Katibu Mkuu Kiongozi ni Mpare mwenzake ebo au unajifanya hujui ukabila upo kila mahali.
Haki sawa said:
Yuko fit kwa lipi acheni uongo wenu, huyu Alimasi za UDSM bachelor yake ya PS& PA mwaka 2005 , alipata GPA ya 2.3 , huo ndio ufit? ALipewa kazi wizarani kwa kuwa baba yake Mzazi alikuwa BALOZI wa Tanzania , so alone bwana baba , sasa naona Jk kaamua kumbeba naye huyu, hana hata taaluma ya uandishi wa habari.......do I say more? Alivyokuwa Udsm akiishi Mabino hostel .........

SOMA WASIFU WAKE KWENYE THREAD HII Togolani Mavura ateuliwa kuwa msaidizi wa JK - Hotuba

2. Hoyce Temu sijui

Nchi hii kila kitu kinaangaliwa kama fursa. Ila siasa ndio fursa namba moja. Ukijiingiza utaambiwa kwamba hata sio raia au gaidi. Siasa zina fitna sana
 
Ngoja yarudi magazeti yale akina Mawio,,Mseto na Mwanahalisi ndiyo watatuchambulia mpaka walikozaliwa
 
Uhakika Mungu yupo ni pale wanaomgusa moyo wake anawainua na watu kama wewe mnaingiwa wivu na husda
Sasa wewe unaleta mambo ya dini ambayo hayana ushahidi kama yako. Talk of real world without God involvement. If God does not exist How does he play part here, talk of the real world not a imaginary world guided by so called God
 
Mavura mnamuonea tu jamani. Ni mmojawapo wa vijana wa kitanzania bora kabisa. Namfahamu vizuri.

Hata kama alipata uteuzi kwa sababu ya ukabila, lakini kwa kweli kabisa sifa anazo tena za kutosha. Uki interact nae hata kwa nusu saa tu utagundua ni mtu/kijana wa kipekee sana.

Hongereni mabalozi wote mlioteuliwa.
Mimi simjui lakini acha ale shavu kuliko mjitu kutoka ziwani iliyopendekewa !!! Mfano bashite na "bwashiru"
 
Mtu umesha ambiwa alisoma high school na dada yake makamba then from there akawa ps wa membe kisha akawa mwandishi wa hotuba wa jk in 2004.

Ushambiwa pia baba yake alikuwa mtu mashuhuri...

Ushaambiwa pia alikuaa karibu na balozi sefue

Hapa katikati enz za mwenda zake akapotea ndio amerudishwa na mama....

Unataka nini tena????

Kutana na watu upate fursa. Sisi tuliopo huku vijijini tutasubiri fursa zetu za huku huku kjjn

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Wivu tu connection muhimu sana hapa dunian mwache apige kelele wenzako wanakula
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom