Kwanini ushindi wa Trump ni faida kubwa kwa Tanzania?

- Ushindi wa Trump ni ushindi wa Wananchi wa Marekani, baada ya miaka 270 ya Mfumo Dume Wazee wa Kimarekani wanaomalizia Generation ile hawakutaka kuona Rais Mwanamke anachaguliwa under their watch. Donald Trump throughout the campaign alikuwa anaongea lugha ya pure American, ambaye amezaliwa Bronx dakika 10 kutoka Manhattan lakini hajawahi kutoka nje ya Bronx kwa sababu kila kitu kama Hospitali, Shule, Maduka makubwa na mahitaji yote kama binadam yapo Bronx hapo hapo alipozaliwa so hajawahi kuona sababu ya kwenda Manhattan dakika 10 tu kutoka anapoishi, so kwake the Bronx ndio Dunia masikini ya Mungu hajui lolote hawa ndio wananchi wengi wa Marekani ambao Trump alikuwa anaongea lugha yao.

- Trump amevuna sana kura za hasira againt Politicians wajanja wajanja, kwa kugombana mpaka na Chama chake Trump alikuwa anajiweka vizuri zaidi na wananchi ambao walikuwa wanamuamini kwamba ana best interest ya Taifa na Wananchi mpaka amefikia kugombana na wanasiasa wa chama chake mwenyewe, kuanzia marais wa zamani mpaka Spika wa Bunge wa chama chake. Huku akiyasema matatizo ya Marekani kama Taifa kama yalivyo bila kuogopa Political Correctness.

- Mama Clinton ana makosa mengi sana na ya muda mrefu sana Polls zinaonyesha 65% ya Wananchi wa US hawamuamini kabisa kutokana na matatizo yake mengi sana kisiasa, lakini pia kitendo cha kushindwa kumpa ugombea mwenza Bern Sanders pia kumemuumiza sana na wafuasi wa Ben. Halafu Wamarekani waliokimbia utawala wa Mfalme King George, wangemuchaguaje Mke wa Rais wa zamani?

- Now all and all, Wananchi wa USA wameshaamua Democrasia kama kawaida imeshinda tena big time , now comes our part as a nation na ushindi wa Donald Trump, kwa maoni yangu baada ya kuishi USA kwa miaka 25 ni kwamba Trump amesaidiwa sana na Makampuni ya Kutengeneza Silaha ambayo yanataka Vita na kuhakikisha kwamba Wananchi wa USA wanakuwa na haki za kisheria za kumiliki Silaha kama walivyo sasa against Sheria na majaribio mengi ya Chama cha Mama Clinton cha kutaka kuwazuia wasiwe na Silaha, na besides kuacha mambo machache sana ya Trump bado yeye na Rais Magufuli wanaongea lugha moja ya USA First na Tanzania First.

- Maofisa wetu wa Diplomasia wasiingie mkenge wa Dunia kuilalamikia USA kwa kumchagua Trump badala yake wajikite kwenye kuangalia masilahi ya Taifa letu na Urais wa Trump, kwa sababu hata ukiangalia historia ipo very clear kwamba Viongozi wa Republicans ndio wametusaidia sana Tanzania na hata Weusi kule USA kuliko hata Democrats Chama ambacho Wabongo wengi tunaonekana kukiunga mkono bila kukielewa vizuri.

Tanzania tupo kwenye kufaidika sana na Urais wa Trump kwa mambo mengi mojawapo likiwa Wamiliki wa Silaha wanapenda sana kuwinda so tukiwa flexible watakuja kwa wingi kwa njia ya utalii, lakini tukijiingiza mbio kwenye kuwa negative against Rais wa USA ambaye hatuhusu kabisa tunaweza kuishia kujinyonga wenyewe kwa kamba tuliyojitengenezea, kwa maneno yake mengi kuhusu Africa Trump hawezi kuwa na tatizo na uongozi wa Rais Magufuli, no way ninasema ushindi wa Trump ni mzuri na unaweza kuwa na faida kwetu Tanzania kama tutajikita kwenye kujali masilahi ya tiafa kwanza na kuchana na siasa za Dunia.

Le Mutuz Nation
Mbona hukushauri maofisa wenu wa diplomasia juu ya ujio wa mfalme wa Morocco, Kabila wa DRC na hata Kagame?
 
Ushindi wa Trump umemuumiza Lemutuz na wanaCCM wote.

Makampuni ya silaha hayawezi kumuingiza Trump Ikulu kwakuwa makampuni hayapigi kura wala hawana viti kwenye house na senate, ukweli ni kwamba kumiliki silaha hovyo marekani imekua ni jadi, sasa huyo bibi alikua na sera ya kubana umiliki wa silaha hovyo.

Tabia nyingi alizozionyesha Trump ikiwepo ubinafsi na ujeuri ni jadi ya wamarekani, Hii ndiyo njia pekee iliyompa ushindi Trump kwa kuwa wamerekani wamepigia kura jadi yao yenye image msioipenda nyie mburulaz wa CCM na watu wengine pia.

Story yako ya makampuni ya silaha kuwa yanataka kuleta vita ni story unayotakiwa kuwatisha nayo wapiga kura wa Mtera ambao mnawadanganya kuwa UKAWA wakishinda wataleta vita nchini.
 
- Ushindi wa Trump ni ushindi wa Wananchi wa Marekani, baada ya miaka 270 ya Mfumo Dume Wazee wa Kimarekani wanaomalizia Generation ile hawakutaka kuona Rais Mwanamke anachaguliwa under their watch. Donald Trump throughout the campaign alikuwa anaongea lugha ya pure American, ambaye amezaliwa Bronx dakika 10 kutoka Manhattan lakini hajawahi kutoka nje ya Bronx kwa sababu kila kitu kama Hospitali, Shule, Maduka makubwa na mahitaji yote kama binadam yapo Bronx hapo hapo alipozaliwa so hajawahi kuona sababu ya kwenda Manhattan dakika 10 tu kutoka anapoishi, so kwake the Bronx ndio Dunia masikini ya Mungu hajui lolote hawa ndio wananchi wengi wa Marekani ambao Trump alikuwa anaongea lugha yao.

- Trump amevuna sana kura za hasira againt Politicians wajanja wajanja, kwa kugombana mpaka na Chama chake Trump alikuwa anajiweka vizuri zaidi na wananchi ambao walikuwa wanamuamini kwamba ana best interest ya Taifa na Wananchi mpaka amefikia kugombana na wanasiasa wa chama chake mwenyewe, kuanzia marais wa zamani mpaka Spika wa Bunge wa chama chake. Huku akiyasema matatizo ya Marekani kama Taifa kama yalivyo bila kuogopa Political Correctness.

- Mama Clinton ana makosa mengi sana na ya muda mrefu sana Polls zinaonyesha 65% ya Wananchi wa US hawamuamini kabisa kutokana na matatizo yake mengi sana kisiasa, lakini pia kitendo cha kushindwa kumpa ugombea mwenza Bern Sanders pia kumemuumiza sana na wafuasi wa Ben. Halafu Wamarekani waliokimbia utawala wa Mfalme King George, wangemuchaguaje Mke wa Rais wa zamani?

- Now all and all, Wananchi wa USA wameshaamua Democrasia kama kawaida imeshinda tena big time , now comes our part as a nation na ushindi wa Donald Trump, kwa maoni yangu baada ya kuishi USA kwa miaka 25 ni kwamba Trump amesaidiwa sana na Makampuni ya Kutengeneza Silaha ambayo yanataka Vita na kuhakikisha kwamba Wananchi wa USA wanakuwa na haki za kisheria za kumiliki Silaha kama walivyo sasa against Sheria na majaribio mengi ya Chama cha Mama Clinton cha kutaka kuwazuia wasiwe na Silaha, na besides kuacha mambo machache sana ya Trump bado yeye na Rais Magufuli wanaongea lugha moja ya USA First na Tanzania First.

- Maofisa wetu wa Diplomasia wasiingie mkenge wa Dunia kuilalamikia USA kwa kumchagua Trump badala yake wajikite kwenye kuangalia masilahi ya Taifa letu na Urais wa Trump, kwa sababu hata ukiangalia historia ipo very clear kwamba Viongozi wa Republicans ndio wametusaidia sana Tanzania na hata Weusi kule USA kuliko hata Democrats Chama ambacho Wabongo wengi tunaonekana kukiunga mkono bila kukielewa vizuri.

Tanzania tupo kwenye kufaidika sana na Urais wa Trump kwa mambo mengi mojawapo likiwa Wamiliki wa Silaha wanapenda sana kuwinda so tukiwa flexible watakuja kwa wingi kwa njia ya utalii, lakini tukijiingiza mbio kwenye kuwa negative against Rais wa USA ambaye hatuhusu kabisa tunaweza kuishia kujinyonga wenyewe kwa kamba tuliyojitengenezea, kwa maneno yake mengi kuhusu Africa Trump hawezi kuwa na tatizo na uongozi wa Rais Magufuli, no way ninasema ushindi wa Trump ni mzuri na unaweza kuwa na faida kwetu Tanzania kama tutajikita kwenye kujali masilahi ya tiafa kwanza na kuchana na siasa za Dunia.

Le Mutuz Nation
History
 
Huenda mimi ndio sijaelewa, unataka kutuambia faida tutakayoipata watanzania ni kwa wamarekani kwasababu watakuwa na silaha nyingi basi watakuja kuwinda huku?
Dah! Hata mimi nilisubiri lakini nikabaki nimeduwaa na uchambuzi wa lemutuz
 
Waje wamalize Tembo wetu, chui wetu, Nyati wetu na Simba wetu kasha mbuga zetu za Wanyama zibaki kuwa history.

""Wamiliki wa Silaha wanapenda sana kuwinda so tukiwa flexible watakuja kwa wingi kwa njia ya utalii! By Le Mutuz!
 
""Wamiliki wa Silaha wanapenda sana kuwinda so tukiwa flexible watakuja kwa wingi kwa njia ya utalii! By Le Mutuz!

William unamaanisha Trophy hunting. ?
Tukiwaruhusu kiholela hivyo baada ya miaka minne Trump anamaliza term yake sisi hatuna hata simba mmoja aliebaki.
Sikubaliani na wewe kabisa kuhusu hili .
 
Kuna watu wengine wanashangaza sana. Kama wanapenda kuua wanyama kwanini waje Afrika tu kutumia bunduki zao? Hata huko kwao si kuna wanyama chungu nzima kama bears na wengineo? Kwanini wanyama walio kwao wawasitiri na kifo cha risasi lakini waje kumaliza wa huku kwetu?

William unamaanisha Trophy hunting. ?
Tukiwaruhusu kiholela hivyo baada ya miaka minne Trump anamaliza term yake sisi hatuna hata simba mmoja aliebaki.
Sikubaliani na wewe kabisa kuhusu hili .
 
Nimepitia Makala yako hii nanukuu kama ifuatavyo:-
1."kwa maoni yangu baada ya kuishi USA kwa miaka 25 ni kwamba Trump amesaidiwa sana na Makampuni ya Kutengeneza Silaha ambayo yanataka Vita na kuhakikisha kwamba Wananchi wa USA wanakuwa na haki za kisheria za kumiliki Silaha"

Ikiwa Trump kasaidiwa sana na makampuni ya silaha ambayo yanataka Vita (ili yauze silaha kwa wingi na kujipatia fedha na rasilimali zaidi) Hali hii hatuioni kwamba ni hatari zaidi kwa mataifa manyonge kutumbukizwa kwenye migogoro ya wenyewe kwa wenyewe na kuleta hali ya umwagaji damu zaidi na kuvuruga mustakbali kwa walio wengi Ulimwenguni?

2."ukiangalia historia ipo very clear kwamba Viongozi wa Republicans ndio wametusaidia sana Tanzania na hata Weusi kule USA kuliko hata Democrats"

Historia ipo hivyo, lakin kauli ya Trump ya kusema kuwa "Afrika inapaswa kutawaliwa tena" hatuoni kuwa anadhamira ya kubadilisha historia hiyo ya Republican na kurudisha ubeberu na unyonyaji wa kikoloni ambao matokeo ya jinamizi lake bado umelighubika bara la Afrika kwa kuzalisha Waafrika waliokosa Uzalendo na nchi zao wanaosaidia kutorosha raslimali za Afrika?

3."Tanzania tupo kwenye kufaidika sana na Urais wa Trump kwa mambo mengi mojawapo likiwa Wamiliki wa Silaha wanapenda sana kuwinda so tukiwa flexible watakuja kwa wingi kwa njia ya utalii"

Wakija kwa Utalii basi Tanzania itafaidika ila wakija kwa jicho la ubeberu basi inaweza tukajilaumu sababu ya Rasilimali tulizonazo na tunazoendelea kuvumbua kama Mafuta na Gas
 
Kuna watu wengine wanashangaza sana. Kama wanapenda kuua wanyama kwanini waje Afrika tu kutumia bunduki zao? Hata huko kwao si kuna wanyama chungu nzima kama bears na wengineo? Kwanini wanyama walio kwao wawasitiri na kifo cha risasi lakini waje kumaliza wa huku kwetu?
Cha kushangaza zaidi ni mtu kama William anakuja hapa na ku support Trophy hunting.

Mwanzoni mwa 20th century kulikuwa na tembo kati ya million tatu mpaka Tano . Sasa wamebaki a little over four hundred thousand. Na hapo hatuwaruhusu. Tukiwaruhusu American for Trophy hunting hatuwezi kuwanyima Wa China. We angalia kati ya China na US nani ana invest TZ kuliko mwenzeka kwa sasa ?
 
naona babu wa miaka 60, anaendelea kuchapwa vilivyo na wana jf.

yuko hoiii
 
Mama Clinton kajitahidi sana ndiyo maana amemshinda Trump kura za wengi.Kwa siyo sahihi kusema hakubaliki.
 
""Wamiliki wa Silaha wanapenda sana kuwinda so tukiwa flexible watakuja kwa wingi kwa njia ya utalii! By Le Mutuz!
Mhmm hapa kuna harufu ya kinyaa na ukakasi. Huyu mleta mada anaonyesha wazi kuwa katanguliza tumbo na kuzoea kudandia vile vya kunyonga. Hawa ndio wale madalali wa rasilimali za watanzania.
 
afrodenzi siungi mkono kabisa hill kitu wanaita trophy hunting. Ningekuwa nina uwezo hata kanga nisingeruhusu wauawe na hao so called watalii toka nchi za nje. Kama unavyosema wanyama wetu wanakwisha kutokana na rukhsa waliyopewa na Serikali na kupewa jina la trophy hunting. Kama hii inaruhusiwa kuendelea basi miaka mingine 10 mpaka 15 tunaweza kabisa kupoteza Tembo, Simba, Chui, Nyati na hata pundamilia. Hii kitu ipigwe marufuku tena ipigwe marufuku haraka sana. Wanaotaka kuja kutembea kama watalii waruhusiwe kuja lakini wapigwe marufuku kuua mnyama yeyote yule katika mbuga za wanyama nchini.

Cha kushangaza zaidi ni mtu kama William anakuja hapa na ku support Trophy hunting.

Mwanzoni mwa 20th century kulikuwa na tembo kati ya million tatu mpaka Tano . Sasa wamebaki a little over four hundred thousand. Na hapo hatuwaruhusu. Tukiwaruhusu American for Trophy hunting hatuwezi kuwanyima Wa China. We angalia kati ya China na US nani ana invest TZ kuliko mwenzeka kwa sasa ?
 
Wafuasi wengi wa Trump hawakupenda kampeni kubwa za Democratic za kuhalalisha Ushoga.

Wachambuzi wa Siasa.Angalieni vizuri:
Demokratik ikiwa madarakani, vita vingi Afrika.

Republikan ikiwa madarakani:Vita vingi Mashariki ya Kati.

Whatsapp source:
Trump's first day at the Oval Office after being elected President.

First briefing to the President by CIA, Pentagon, FBI:

Trump: We must destroy ISIS immediately. No delays.

CIA: We cannot do that, sir. We created them along with Turkey, Saudi, Qatar and others.

Trump: The Democrats created them.

CIA: We created ISIS, sir. You need them or else you would lose funding from the natural gas lobby.

Trump: Stop funding Pakistan. Let India deal with them.

CIA: We can't do that.

Trump: Why is that?

CIA: India will cut Balochistan out of Pak.

Trump: I don't care.

CIA: India will have peace in Kashmir. They will stop buying our weapons. They will become a superpower. We have to fund Pakistan to keep India busy in Kashmir.

Trump: But you have to destroy the Taliban.

CIA: Sir, we can't do that. We created the Taliban to keep Russia in check during the 80s. Now they are keeping Pakistan busy and away from their nukes.

Trump: We have to destroy terror sponsoring regimes in the Middle East. Let us start with the Saudis.

Pentagon: Sir, we can't do that. We created those regimes because we wanted their oil. We can't have democracy there, otherwise their people will get that oil - and we cannot let their people own it.

Trump: Then, let us invade Iran.

Pentagon: We cannot do that either, sir.

Trump: Why not?

CIA: We are talking to them, sir.

Trump: What? Why?

CIA: We want our stealth drone back. If we attack them, Russia will obliterate us as they did to our
buddy ISIS in Syria. Besides we need Iran to keep Israel in check.

Trump: Then let us invade Iraq again.

CIA: Sir, our friends (ISIS) are already occupying 1/3rd of Iraq.

Trump: Why not the whole of Iraq?

CIA: We need the Shi'ite gov't of Iraq to keep ISIS in check.

Trump: I am banning Muslims from entering US.

FBI: We can't do that.

Trump: Why not?

FBI: Then our own population will become fearless.

Trump: I am deporting all illegal immigrants to south of the border.

Border patrol: You can't do that, sir.

Trump: Why not?

Border patrol: If they're gone, who will build the wall?

Trump: I am banning H1B visas.

USCIS: You cannot do that.

Trump: Why?

Chief of staff: If you do so we'll have to outsource White House operations to Bangalore. Which is in India.

Trump (sweating profusely by now): What the hell should I do as President???

CIA: Enjoy the White House, sir! We will take care of the rest!!!
 
IMG_1052.JPG
IMG_1053.JPG
IMG_1053.JPG
BAK
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom