mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,110
- 21,657
Ile vita iliwashangaza sana Wamarekani, awakutegemea kabisa kama ingekuwa vile.walijikuta kila kukicha ni mwendo wa kutuma vifaa vipya na wanajeshi wengine.
Upinzani ulikuwa mkubwa sana na walitumia siraha zote kasoro tu za nuclear.wanajeshi wa Marekani ilifika muda walikata tamaa kabisa ya kupigana kwa sababu ya Vita kuwa ngumu.kibaya zaidi walikuwa wanapigana na watu ambao walikuwa wanapendwa na wananchi.
Mpaka vita inaisha inasemekana Marekani ilikuwa imetumia zaidi ya dola trillion 1( ni sawa na trillion 2000 za kitanzania).