Kwanini Ureno (Portugal) ni masikini?

Kwanini Ureno (Portugal) ni masikini?

Ni ajabu hata uchumi wa south Africa ni mkubwa kuliko wa Spain wale majirani Portugal na Spain wamepewa nguvu wamenyimwa akili ndio maana wana wachezaji wazuri wa kabumbu lakini hawana brain za mainjinia.
 
Wareno walikuwa wakoloni wa kwanza kuja Afrika. Pia walikuwa wakoloni wa mwisho kuondoka Afrika.

Possibly hawa ni wazungu wenye IQ ndogo walivyo waafrika wengi.
Asante sephalocaudo na Mimi naona kama unavyoona wewe mkuu
 
urrency 1 euro = 100 eurocent

Fixed exchange rates
1 euro = 200.482 Portuguese escudo

Fiscal year
Calendar year

Trade organisations
EU, WTO and OECD
Statistics
GDP
$310.651 billion (PPP; 2017)[1]
$205.860 billion (nominal; 2016)[1]
GDP rank 45th (nominal) / 55th (PPP)

GDP growth
2,7% (2017)[2]

GDP per capita
$30,192 (PPP; 2017)
$20,575 (nominal; 2017)[3]

GDP by sector
agriculture: 2.4%; industry: 23.1%; services: 74.4% (2013) [4]

Inflation (CPI)
1,4% (2015)[5]

Gini coefficient
33,9 (2013) [6]

Labour force
5.2 million (Q4 2015)[7]

Labour force by occupation
agriculture: 7.5%; industry: 24.5%; services: 68.1% (2015)
Unemployment 9,8% (Q1 2017)[8]

Average net salary
€11,800 annual (2013) [9]

Main industries

List[show]

Ease-of-doing-business rank
25th (2017)[10]
External
Exports
€ 75.779 billion (2016)[1
 
Jamani hivi kwanini Ureno ni masikini wakati iko Ulaya na iliitawala Afrika kwa miaka miatano.
watu wakisema Ureno ni masikini wana compare na watu kama USA, UK, France etc ila compare na sisi wala sio wenzetu wale.

hizi ni data za pato la mtu mmoja mmoja toka benki ya dunia
-GDP per capita ya Tanzania dola 879
-GDP per capita ya Ureno ni dola 19,813

hivyo unaona utajiri wa mtu mmoja mmoja ni zaidi ya mara 20 ya Tanzania, gape ni kubwa sana. Tuangalie nchi tajiri za kiAfrica.

-south Africa ni dola 5273
-Egpty ni dola 3514
-Nigeria ni 2178

hivyo hata nchi tajiri za ki Africa hazina hata nusu ya uwezo wa kifedha wa mtu mmoja mmoja wa ureno.

tuangalie Nchi tajiri za ulaya
-Uk gdp per capita ni 39,900 usd
-Norway ni 70,812 usd
-france ni 36,854 usd
-italy ni 30,527 usd

hivyo ukiangalia mabwa wakubwa wengine utaona portugal ni masikini compare na nchi kubwa za ulaya.
 
Back
Top Bottom